Recent content by Dafugwadu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2026 ni kama umekwisha umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia?

    Asee nimetokea kuzichukia pombe kiasi ambacho nikiongea na mtu halafu anatoa harufu ya pombe nachafukwa vibaya. Samahani nyingi kwa Mawatoto kumbe alinivumilia sana.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2026 ni kama umekwisha umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia?

    Kila jambo lina wakati wake, kwa mfano Kiranga alisema ameacha nikajiuliza wanawezaje hawa?! Lakini mwisho wa siku niliacha kwa siku moja tu tena jana yake nilikuwa nduki mama kawa. Uongo mbaya nilipata sana tabu ya usingizi kwa siku5 mfululizo ila saivi aah.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna namna ya kuotesha nywele kwa wenye uwalaza?

    Vipi TRA wanakunyima raha kwa kukudai kodi ya kiwaraza?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2026 ni kama umekwisha umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia?

    Najivunia kuacha pombe kitu ambacho nilishindwa mara nyingi kufanya hivyo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

    Nimepata mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka miwili, Ndevu zimejaa mvi Dunia lakini kichwani mvi hakuna. Na nilianza kupata kipara nikiwa na miaka 25 ila najikubali hata kama hamtaki.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu, karibu na rafiki supamaketi, Kilimanjaro opposite na sharonaro, vichaa wanalalana realy?ni aibu kwa wachanga.

    Kuna wajinga wakisikia Moshi wanajua yote imejaa wachaga.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anakaribia kuingia kwenye 18

    Na kitaalamu inaitwa Soulmate.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Huduma ya maji nchini, hakuna atakayeachwa

    Nipo jijini Mbeya [Kijiji kilichochangamka] Siku ya4 leo maji hayatoki wenyeji wanasema kuna mgao.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jana nilianzisha vurugu nikapigwa. Nifanyeje kurudisha heshima? Leo sijatoka ndani

    Hao hawajakupiga wewe ila wameipiga pombe.
  10. D

    JamiiForums Tanzania "Madhara ya pombe Kwa vijana-jiokoe kabla haujachelewa!

    Kuna mtu aliniuliza hivi kwa nini unakunywa pombe? Nikamjibu nakunywa pombe kwa sababu zipo.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Huwa nazielewa sana mada zako unazopandisha humu. Yaani kiufupi unashangaa mbona kama haya mambo yamefanyika kwa gharama hizo kwa nini hayaonekani?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

    Mbona mimi naishi nacho fresh tu au cha kwako kinauma?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Je ni kitu cha hatari kinaninyemelea?

    Habari wanajukwaa nimekosa amani tangu jumanne ilikuwa hivi, nililala usiku nikaota ndoto nimepooza upande wa kulia, Lakini ile kustuka kweli ule upande wote ulikuwa umepooza. Nilikuwa na kiu kali sana ikabidi nimuamshe wife anipe maji ya kunywa. Sikuweza kuyashika yale maji ikabidi aninyweshwe...
Back
Top Bottom