Recent content by Dady6

  1. Dady6

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection ya kibarua wakuu.

    Amina mkuuu.
  2. Dady6

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection ya kibarua wakuu.

    Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta (VETA). Ninaandika kutafuta nafasi ya kazi yoyote ambayo itanipa fursa ya kutumia maarifa yangu...
  3. Dady6

  4. Dady6

  5. Dady6

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa afisa manunuzi? (Procurement Officer )

    Hapo unatakiwa ukasome course inaitwa procurement & Supply chain / Logistics management. Baada ya hapo unaenda kupiga mitihan ya board ( PSPTB). hapo sas ndo unakuwa kama hao unao watamani sasa. #KAMA HAUNA CONNECTION ACHANA NA HII KITU WE ENDELEA NA MARKETING MZEE, NINA MAANISHA [emoji848].
  6. Dady6

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    https://ajirayako.co.tz/jobs/3-job-opportunities-at-green-bird-education-institution/
  7. Dady6

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wa connection ya kibarua

    [emoji1666]
  8. Dady6

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wa connection ya kibarua

    [emoji1666]
  9. Dady6

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wa connection ya kibarua

    [emoji120]
  10. Dady6

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wa connection ya kibarua

    Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta (VETA). Ninaandika kutafuta nafasi ya kazi ambayo itanipa fursa ya kutumia maarifa yangu na ujuzi...
  11. Dady6

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Barua ya Kampuni ya Pepsi kudai Tsh. 30,000 kwa waajiriwa wapya

    Habari wakuu naomba uthibitisho wa hii barua kwa mwenye dondoo za kampuni ya pepsi maana imekaa kaa kitapeli.
  12. Dady6

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Mbona swala la kawaida imi nina miaka 23 nna degree nkiunga masters naipata nikiwa na miaka mingapi
  13. Dady6

    JamiiForums Tanzania Kwa haya Matokeo anaweza kuchaguliwa kwenda Form 5 wakuu?

    HGK wanamchukua
  14. Dady6

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuandika barua ya kukariri darasa kidato cha kwanza

    Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuandika barua kwa mwanafunzi anaehama shule lakn pia anapohamia anakariri darasa.
Back
Top Bottom