Recent content by dady Vanny

  1. dady Vanny

    Upandaji wa miti yakibiashara

    Hyo heka 1 nkivuna napata range ya how much na inakua kwa muda gan
  2. dady Vanny

    Kweli Mungu mwacheni aitwe Mungu

    Si mpaka yanitokee mimi hayo mambo yapo kwa hamii inayotuzunguka na nmeona wengi nao wengine ni my relatives
  3. dady Vanny

    Kweli Mungu mwacheni aitwe Mungu

    Mi naona simetimes Mungu anakuonea huruma kama huna hayo mambo pia inaweza kuwa nimalipo sababu ya nduguyo unajua what goes arround it comes back arround
  4. dady Vanny

    Kweli Mungu mwacheni aitwe Mungu

    Nimejaribu kufuatilia nakufikiria nimegundua Mungu niwaajabu...kwetu sisi wanaume nmeona kwawale maplayboy Mungu amakuonesha jinsi watu wanavoumizwa kupitia hyo tabia yakuwachezea mabinti nakuwaacha maana beliave me ukiwa natabia chafu kwamabinti pia unabarikiwa mtoto wakike mzuriiii hapo ndo...
  5. dady Vanny

    Upandaji wa miti yakibiashara

    Habari wana JF....samahani naombeni ushauri nahitaji kufanya ishu yakupannda ile miti yambao..samahani naombeni ushauri wenu maeneo gani yanafaa na miti haina gani inaota haraka na nikianza na heka 1 ntaweza kupata faida kiasi gan na shamba linapatkana kwa bei gani..
  6. dady Vanny

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Nini maana ya matangazo madogomadogo??acheni kunizingua tatzo mnakua wagumu kuelewa
  7. dady Vanny

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    We jamaa mbona unakua mshenz hivo
  8. dady Vanny

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Niko na shamba huko Rujewa hayo yalibaki mengine nmepeleka kwa shule
  9. dady Vanny

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Sio kwamba sina uhakika nataka niongeze mengine ndo maana inakua hvo
  10. dady Vanny

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Nauza hayo maharage mekundu ama rosecoco yanatokea Rujewa ni kilo 160-200 na nauza kwa 2300 kwa kilo na mimi nipo Dar kwamaana kwamba yapo huku dar so unaweza kuwasliana na mimi 0655822872 nipo Gongo lamboto majohe karibu..
  11. dady Vanny

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Nauza hayo maharage mekundu ama rosecoco yanatokea Rujewa ni kilo 160-200 na nauza kwa 2300 kwa kilo na mimi nipo Dar kwamaana kwamba yapo huku dar so unaweza kuwasliana na mimi 0655822872 nipo Gongo lamboto majohe karibu..
  12. dady Vanny

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Asante mkuu nmekuelewa
  13. dady Vanny

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Habari wana JF nauza maharage kilo 160 equal to debe 18 maharage ya rose koko kilo 2100
Back
Top Bottom