Kuna maswali ya msingi ambayo Zitto anapaswa kuyajibu na kuyatolea ufafanuzi ili aweze kufanikiwa katika kuutaka Urais kupitia Chadema, otherwise .
Urafiki wake na Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bw. Nzoka upo katika misingi gani...
1. Hongera kwa Nape kukiri mchango wa Dr. Slaa ktk Taifa hili.
2. Chadema imeshatoa misimamo mara nyingi kuhusu ushoga. INAPINGA USHOGA. Nape asipotoshe. Rejea kauli za Mkurugenzi wa Habari na Uenezi - John Mnyika.
3. Baba yangu ana miaka 65, lakini ana nguvu za akili na mwili. Sijui nimuite...
1. yeyote atakayepuuza mafaniko ya chadema chini ya mbowe ni MPUUZI.
2. Yeyote atakayepuuza mvuto wa chadema chini ya Dr. Slaa hana AKILI.
3. Nadhani hakutakuwa na mabadiliko kwa nafasi za uenyekiti na ukatibu. mabadiliko yatakuwa kwenye umakamu na unaibu na sekretariat.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.