Recent content by dadude

  1. D

    JamiiForums Tanzania Bashe: CCM ni waoga, wanafiki na wa kujipendekeza, hatuna sababu ya kuendelea kubaki madarakani

    bashe kasema u Bashe kasema ukweli lakini wakweli kwa sasa katika siasa ni JPM na Donard Trump tu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Na Zanzibar umeisahau mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mawasiliano, tafadhalini! Wamulikeni wamiliki wa ving'amuzi, ni wanyonyaji

    TCRA waliahidi watumiaji wa visimbusi watapewa channel tano za bure kutoka kwa watoa huduma wao, iweje hawajalisimamia hili kwa nguvu kama inayotumiwa kwenye simu bandia?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mawasiliano, tafadhalini! Wamulikeni wamiliki wa ving'amuzi, ni wanyonyaji

    Kufuatia tangazo la mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA la kuzima simu "fake" mwishoni mwa june 2016 sina shaka yeyote zoezi litatekelezwa kama lilivyopangwa,na kama ndivyo sielewi ugumu unatoka wapi kwa TCRA kuwapatia Watanzania wanaomiliki visimbusi channel tano za bure. Nawasilisha.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Umewahi kwenda kwa mganga wa kienyeji "Mtaalamu"? Ilikuwaje?

    Ngumu kidogo kwa uzoefu maana wengi "wamesindikiza tu"
Back
Top Bottom