Recent content by Daddi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiles aina hii ya India

    Nyingine zipi?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiles aina hii ya India

    Bado sijapata wakuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiles aina hii ya India

    Hata kama kuna ambae alinunua kwa ajili ya matumizi yake zikabaki nitanunua pia
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiles aina hii ya India

    Wewe unaeuza sema bei yako mkuu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiles aina hii ya India

    Wakuu habari za muda huu? Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia kamaliza. Mwenye nazo tafadhali sana naomba mawasiliano yako tufanye biashara. Model yake ni...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbao nilizotumia kupaua nyumba zinaliwa na wadudu, nipake dawa gani kuzinusuru?

    Vipi wakuu tatizo lilitatulika kwa mbinu gani?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wadudu wamekula mbao za dari, paa linataka kudondoka. Mtaalamu wa dawa anisaidie ushauri

    Barikiwa sana mkuu nitajaribu hii. Ungenipa formula ya jinsi ya kuchanganya itapendeza sana. Na ukieza kutuma picha ya chupa ya hiyo sumu itakua umetusaidia wengi
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kiwanda cha kuponda na kukatakata plastic Bottle (PET bottle crusher)

    Vipi mtoa mada hii biashara ulifanikiwa?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chimbo la angle/trunk za chuma za kujengea dari pamoja na gypsum

    Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari. Huwa zinatumika pamoja na gypsum. Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk. Naomba kujua duka na bei zake.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Hili duka linaitwaje mkuu? Liko kibanda upande upi?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi ni afya ya akili

    You are right, muda wote ninapokuwa site ninakuwa makini nikizingatia ubora wa jengo na kuepuka kupigwa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Gharama za plumbing na wiring stage ya kwanza

    Jamaa umejibu vzuri nadhani mtoa mada amejifunza
  13. D

    JamiiForums Tanzania KINANA: Urais wa Samia sio wa Kikatiba, amepatikana kwa Uchaguzi

    Inafikirisha sana
  14. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Ukubwa wa eneo?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Survey App (task) zinazo lipa vizuri Tanzania

    Tuelimishane ni kitu gani mnazungumzia. Tupeane maarifa kidogo.
Back
Top Bottom