Recent content by dadake_

  1. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Mwenye kuifahamu biashara ya karafuu kutoka Amani Muheza tafadhali tupe madini
  2. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tafiti mpya yabainisha ubora wa kinywaji kijulikanacho kama mbege!

    Mjini hasa dar naskia flavour ya mbege inauzwa kwahiyo hawawaweki ndizi ni ulezi na flavour tuu, inakua kama uji😖😖😖
  4. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    🚮
  5. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    😂😂😂 hela ndo kitu mnajua. Hujioni ulivyo mjinga 🚮
  6. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mwambie aniambiye au pengine wewe unayajua unisimulie, rafiki?
  7. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Nasemaje huko faraghani leo mtabong’oka sana i said what i said msinilishe maneno. Unaonekana unaujua ukweli but you are just in disguise. Nampenda baba yangu sana na kinachowauma zaidi ni anajua nampenda nae ananipenda zaidi na you people won’t rest kila siku ni kumjaza chuki. Fanyeni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Heri yako wewe umekumbatiwa. I’m done with you maana hata mngetaka kunikumbatia nisingekubali. Nyinyi ni mashetani. Na huyo mtu endeleeni kumng’ang’ani mkimchoka mkumbusheni sisi hatukumchoka.
  9. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mzee nimuitaye baba yangu? Nenda faraghani mzee hapa si mahali pako
  10. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Shinikizo na ushabiki ni kutoka kwao kuhusu kanisa nilishasema mapingamizi yaliwekwa hapa dar lakini cha kushangaza ndoa ikafungwa mkoa mwingine. Wao kama watu wa dini/mungu walikuwa na maslahi gani mpk waspearhead kitu fishy kama hicho. Ati ndoa ya kanisani ifungwe haraka na kwa ulazima mpk...
  11. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Soma thread wewe sio unarukaruka kama umewekwa pilipili
  12. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Endelea kuwatetea maana hayajakufika
  13. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Naomba unipe guidance naweza tumia njia zako
  14. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Hii ni kweli jamaniii😭😭😭😭😭😭
Back
Top Bottom