Ni wajibu wa kila serikali kuhakikisha wananchi wake wanaishi maisha bora, na ili serikali iwahakikishie wananchi wake maisha bora ni lazima wananchi hao watoe kodi ili serikali ijiendeshe vizuri. Mtu lazima awe anajishuhulisha eidha ameajiriwa au amejiajiri ili aweze kupata kipato cha kujikimu...
Kwa kipindi hiki ambacho ajira zimekua chache sana wa watu ni wengi sana,unaweza kutoka kwenye wimbi hilo la kukaa bila ajira wala kazi ya kufanya.
KAZI ZIFUATAZO UNAWEZA KUFANYA KWA MTAJI MDOGO LAKINI ZIKAKUINGIZIA KIPATO KIKUBWA.
1.KUFUNGUA MGAHAWA WA CHAKULA
kula ni lazima, bilionea mmoja...
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatzo linalohusisha sehemu za maumbile ya kiume ya mwanaume kushindwa kufanya kazi zake kama inavyotakiwa.
Mara nyingi tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hutokea pale mzunguko wa damu unakua dhaifu hasa maeneo ya maumbile ya kiume hivyo kufanya maumbile hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.