Kwanza huyo ni ww na siyo jirani,na ww mama unaonekana mbinafsi sana, na ndio nyiye nyiye mnaoendaga kwa kalumanzila eti fanya dawa mme wangu akienda ku do, nje ya ndoa mashine yake isifanye kazi,,usikute we ndio ulimfanyia hivyo ukawa umemzidishia dozi,,
Hujampenda ww huyo binti, hivi ww unafikiri mchumba unatafuta tu hovyo hovyo kama unavyoenda kununuwa nyanya sokoni,na huyo binti alifanya la maana kweli kushikilia msimamo wake wa kuto badili dini mpaka uchumba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.