wapo mkuu pale mtaa wa bantu na mtaa wa nkomo fika mitaa hiyo na ulizia barmedas cable au wengine wanaitwa mwanza satelite,au fika mtaa wa ghana na ulizia ghana cable angalizo
na ngoma za wasukuma(mbina) zilivyochangia kuwafanya wabeshi kujiamini kuhusu uchawi na kuiba,maana mamanju wengi walikuwa wanaamini uchawi na wateja wao wengi walikuwa wabeshi,mamanju kama tagala,inagha nk,walikuwa noma kwa mbina
ni kweli mzee wa beba dunia(barafu) vitu vingine watu hawataamini na itakuwa ngumu kuwaelewesha khs kuiba almasi,ni kitu ngumu sana inahitaji ujasiri na laiti tungejua kuwa vibarua wa mchana ndo hao wabeshi wa usiku tusinge waruhusu kufanya vibarua ndani ya mgodi
na kama atakuwa humu atanikumbuka maana alikuwa na akina china wa kawawa jkt mafinga ambao sisi tuliwaleta wachezaji wetu na gari la jeshi na nikawa karibu nae kupiga story za mwadui na baba yake chekingo na chambuso ambaye ni baba wa rajabu chambuso aliyekuwa mwongoza ndege za mwadui mzee chambuso
mkuu barafu katikati ya miaka ya 90 kulikuwa na mbeshi mmoja alikuwa maarufu sana inasemekana aliua mbwa wa mwadui kwa kumchana mdomo alikuwa anaishi kama si idukilo basi utemini alikuwa mfupi na ananguvu sana unaweza nikumbusha jina lake
pia mabasi ya mwadui,basi no12,dungu la kwenda new alamasi kupitia kale kapoli baadae wakachukua tanex tulikuwa tunakwenda kuwinda sungura na digidigi sana huko kupitia mwadui sec tunaicheck utemini kwa mbaali,nawakumbuka sana wale vibarua wakupalilia nlikuwa nawapa sana miwa,nakumbuka pia mess...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.