Hahaha iko mbeya mkuuNimemsikia mleta habari (reporter) wa TBC akitujuza kutoka wilayani Rungwe kuhusiana na kilimo cha Maparachichi. Mtoa taarifa huyo akamalizia kwa kusema "kutoka hapa Rungwe mkoani Songwe ni mimi. .." najiuliza Rungwe ipo mkoa mpya wa Songwe?
kama Songwe anasema ipo Songwe! Harare si atasema ipo China lakini ndio kazi ya TBC kupamba kitu chochote tuu