Recent content by Da realest

  1. D

    JamiiForums Tanzania Qatar Airways route za Dar/KIA analeta mikangafu!

    Ethiopia hiihii ninayoijuwa mimi au nyingine. Hata bure hunipandishi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Marekani sheria haikatazi mtu kuvaa hayo mavazi ndio maana Wamarekani wanavaa na hakuna tatizo.Tanzania kwa mujibu wa sheria hairuhusiwa “raia” yeyote kuvaa mavazi ya jeshi la Tanzania isipokuwa kwa ruhusa ya Rais au ukawaombe wahusika wa hayo mavazi mf wasanii.Bendera zipo zinauzwa ILA sheria...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

    Story yako “very interesting” tatizo ni summary yako [emoji1787] QB hapo project hizo wanugu hali ngumu sana ulitoka salama ? Maana miaka hiyo siyo mchezo sasa hivi angalau kidogo.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuna mwalimu wa Sekondari aliacha Kazi, sasa anaishi kama mwehu

    Uoga unawaponza na mengi hamtojifunza.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

    Health care system ya TZ is fucked up.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Kifupi hamjui vizuri Marehemu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Nakubaliani na no 4 mengine umepuyanga tu humfahamu vizuri Marehemu.Mfano no 5 kama ni rahisi na wewe kawe chawa [emoji1787]
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wazungu waliokuja kikazi hapa ofisini wanafurahi watanzania ni wakarimu maana wanapata treatment na attention nzuri hata kwa mabosi wakorofi.

    Nakubalina na wewe ngozi nyeupe yeyote ikija bongo au niseme mgeni yeyote kutoka nchi nyingine wanakarimiwa vizuri sana. Nchi nyingine hakuna ukarimu wowote.Kwa kifupi TZ ni wakarimu sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

    Tuko Pamoja uko sahihi kabisa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nionyeshe couple moja ya Mhindi na Mwafrika hapa Tanzania nami nikuoneshe couple 1000 za Waarabu na Waafrika

    Naibu meya wa jiji la Mwanza Biku Kotecha kaoa msukuma na wanawatoto wakubwa. Mwingine Mchaga anaishi hapohapo Mwanza kaoa mhindi hao wote sio kwa kuambiwa nawajuwa. Next time fanya research yako vizuri ukijiridhisha ndio uje na hoja. Labda ungesema wachache saaaana ningekuelewa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu haya kuhusu Malcom X, Elijah Mohamed na Minister Farrakhan

    Kwa kifupi Malcom X kauliwa na CIA, baada ya kuwa maarufu alikuwa na ego, pia kulikuwa na kawivu flani kutoka kwa Elijah Muhamad sababu jamaa alikuwa kaanza kukubalika sana na alimwona alichokuwa anafanya anazidisha sana alimwambia apunguze jamaa hakutaka kumsikiliza. Tafuta documentary who...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya trafiki sasa ni bila kificho, yakijiri mpo?

    Jambo usilolijuwa..... Unafanya analysis kwa sababu imekutokea wewe[emoji2369]
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mtaa umejaa wanaijeria

    Wewe uwajui wanigeria tena nyamaza kabisa, duniani kote hakuna sehemu wanakubalika eti wawekezaji toka nje mnaija [emoji1787][emoji1787].Umeshasikia nani anaenda kwao
Back
Top Bottom