Recent content by D_ullah

  1. D_ullah

    Mfumo dume ni mtindo wa uongozi wa Kiafrika unaopigwa vita badala ya kuboreshwa

    HUU NI MJADALA NILIO UKUTA BAINA NA WAKATA TIKETI NA MAENEO FULANI HAPA NCHINI. Mfumo/Mtindo wa Uongozi barani Afrika miaka na miaka ulikua ni mfumo wa kikifalme na kichifu ambao ulikua umejikita kati utawala wa jinsi ya kiume na kurothishana ulikua unapokea ushauri kutoka kwa wazee wa familia...
  2. D_ullah

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    Kupitia bidhaa, na huduma zingine... Kwa maana watu watakua na hela na kununua kwa wingi mahitaji.
  3. D_ullah

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    Kwamba, Uliingia mkataba wa kulipwa laki 500,000/= ambayo kodi yake haifiki hata hiyo 100,000/.. aje akubadilishe mkata ushuke hadi laki 4!? Moja ya mada hapo ilikua ni namna gani serikali itaongeza purchasing power kwa wananchi, ndio jamaa akatoa wazo watu wa mshahara huo wasitozwe kodi ili...
  4. D_ullah

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    Lengo la Mkurugenzi ni kuongeza uwezo wa wananchi kununua vitu ambavyo, kiuhalisia vitu wanavyo nunua vinakua vimesha katwa kodi, kwa kifupi ana maanisha serikali iache double taxation.
  5. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Hivi unajua nchi za Afrika kuna mikataba imeingia ina tuzuia kuboresha na kuendeleza vitu flani hasa teknolojia bila kuwaomba wao ruhusa!? Aiseee hii Afrika kuna vizuizi sana… kwanini wanasaidia Vikundi vya vurugu kongo ili wachukue madini ya kutengeneza simu na vitu vingine… Kwanini wasiache...
  6. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Kilicho elezwa kuwa ni mshirika mkubwa nje ya NATO ni wazi sababu ni ya kiusalama na ulinzi ambayo nyuma yake kutakua na mambo mengine mengi yanayo husu agenda zingine nyingi, tujipe muda tu.
  7. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Mikopo ya kufanya vitu visivyo na tija.
  8. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Hatuwazi mbele kabisa yani… wanao pata nafasi wanajiangalia wao tu.. ndio maana wanaenda kusujudia wazungu huko…
  9. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Suala sio uzalendo wa kiafrika, suala ni fikra zetu zimefungwa, misaada na vitu tunaona vina manufaa havitusogezi mbele… kama kweli wana hitaji kutusaidia bila kuwa na mambo yao nyuma… wangeturuhusu au wangetupa teknolojia zao.
  10. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Hio mikopo kaka ndio inaleta na mambo mengine yasio ya kwetu, hizo nchi ulizo zitaja zinachukua mikopo ikiwa tayari zimesha jipata kitamaduni na kimaendeleo… mikopo hata marekani na china wanayo… je mikopo tunayo pewa sisi na hizo nchi ulizo taja… masharti ni sawa… mazingira ywtu yana fanana!!!!??!
  11. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Ni serikali kupitia mfumo wetu wa elimu ambao wanauona kabisa hauna tija, uliotengeneza watu wengi wenye vywti vikubwa visivyokuwa na maana… Tuna wasomi wengi lakini asilimia kubwa mambo yetu yanafanywa na wageni… kwa kifupi Afrika ni tuna ugonjwa wa kutokujua umuhimu wa kujitegemea. Tegemezi...
  12. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Kwenye Shida ni kutupa mikopo yenye masharti ya kuendana na matakwa yao.. hakuna mzungu wa kuwa rafiki wa shida na raha.
  13. D_ullah

    Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

    Uhitaji wao kwetu si kwa manufaa yetu kama afrika bali kujifaidisha wao…. Siamini hawa super power kuwa wana lengo na sisi afrika. afrika tumebanwa katika kona mbaya sana ambayo ni ngumu sana kutoka bila ushirikiano
Back
Top Bottom