Recent content by D45

  1. D

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Magufuli naona anaiponda serikali ya Jakaya na kuimarisha hoja za Ukawa yanii mpaka nashangaa. Hospital hakuna madawa Mamantilie na Bodaboda wananyanyaswa Wafanyabiashara hawalipi kodi Watu hawana ajira... Wananchi wanataka Mabadiriko Jamaa ana chekesha sana Naomba kufahamu anaye ongozo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Wewe ni mchambuzi mzuri sana ila leo umechemka sana na nina wasiwasi na Elimu yako unakua kama Le Profeseriiii
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa jimbo la Serengeti Dr. Kebwe Stiven Kebwe( CCM) apita bila kupingwa

    Mbunge wa jimbo la Serengeti anaye tetea nafasi yake sasa atapigiwa kura ya Ndio au hapana ndani ya chama cha Mapinduzi baada ya wagombea wenzake Dr Wanyancha na Mabenga kujitoa katika mchuano huo hapo jana. Kama Dr Kebwe akipata kura za ndio atapamba na Mw. Marwa Ryoba wa Chadema kama akipewa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi kuhusu Mwakibinga kuhamia ACT-Wazalendo

    Mwakibinga tambua kua sisi tunao kujua tunaimani na ww na tunaamini huwezi kua na mawazo mgando kama hayo ya kuhamia ACT. Kaa tulia kabisa usubili maamuzi ya Halmashauri kuu .
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Nambie nijiamini vp nkiwa na maana wayfoward
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Nashukuru sana kwa ushauri wenu wakuu kama kuna nyongeza ya ushauri nipo teyali
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Typing error nimebadilisha soma tena
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Sio hadith mkuu naomba ushauri
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Nilikosea kidogo nimebadiridha ni kuoa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Mpka leo sjapata jibu inawezekanaje ?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Mimi na mpenzi wangu tumefahamiana tangia tukiwa wadogo maana sisi ni family frieds ila namzidi kwa miaka 4 na kwa sasa ana soma Diploma mwaka wa katika chuo cha Utumishi wa Umma. Uhusiano wetu ulianza kwa yeye mwenyewe kuniambia mara kadhaa kua mama ake anapenda nimuoe na kiukweli mama...
Back
Top Bottom