Recent content by czleinc.

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani

    Kwa mda mrefu nimekuwa nikielimika, kuburudika, kuhuzunika, kushangaa na kupanuka kimawazo kutokana na mijadala tofauti tofauti ya ndani ya JF. Natowa tamko sasa kuwa nimejiunga rasmi ili kuwa sehemu ya hiyo mijadala. Naomba kuwasilisha!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Game: Song Titles A-Z

    Toa hela--- jaffary
  3. C

    JamiiForums Tanzania Multiplier effect za mulugoism hizi hapa

    Mtu kutojua Cuba iko wapo peke yake hakumaanishi hajui kitu, you can't know everything about everything!
Back
Top Bottom