Recent content by Cyphers Richardson

  1. C

    JamiiForums Tanzania Legends

    umesahau huyu mamba mkuu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kenya ndio maana hupiga wenza wao si kwa miguvu hii!

    Unakuta hata mume Hana NI single mom, anafanya hivyo Kulea family.....
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    Dah umezungumza kweli mkuu, Nina katabia cha kutoa toa ndugu ama rafiki akisema nimkopeshe. Alafu naishia kutokulipwa....
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    🙏🙏🙏
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    Nipo ninasubiri ujio wako Kwa Mara ya pili
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    Nashukuru kaka
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    nashukuru kaka ninafanyia kazi huu Ushauri kuanzia sasa na kuendelea
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    whole sale sitoagi receipt 😂😂😂Coz I'm just like a street vendor when I'm doing my work.... Mzigo Upo ghetto Natoka nao asubuhi Napita madukani jioni au after some days napitia cash yangu kaka
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    ninafanya kazi company X ninaposambaza bidhaa zao Naweka cha juu cha kwangu. EG:B310bei ya company NI 16500 bei ya jumla me nawauzia Wahitaji 17500 ....
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    Sijawabagua mkuu.... Kama mdogo wenu naombeni mnisaidie Kwa Ushauri....... pia agemates mnisaidie Kwa Ushauri.........
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

    Kwema humu ndani? Ningependa kupata ushauri/ namna ya kufanikiwa maishani kama kijana. Kwa ufupi mimi nina miaka 21, ni mwajiriwa sehemu fulani. Pia, nina mpango wa kuanzisha miradi yangu kufikia February 2020. Nina uwezo wa kutengeneza mpaka laki moja na elfu hamsini (150,000) kwa mwezi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani

    Ahsanteni nyote
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani

    Mko powa
Back
Top Bottom