Wataalamu wenzangu wa Flutter, hii hapa tena Mapishi App — jukwaa la kipekee kwa wapenda kupika
App hii inaruhusu wanawake (na wote wanaopenda kupika) kupost vyakula, kushare mbinu, na kujifunza mapishi mbali mbali. Kila recipe inakuja na maelezo ya kina: jinsi ya kuandaa, viambata, muda wa...
Mambo vipi wadau
Leo tena nimekuja na design nyingine ya simple ecommerce app kwa kutumia flutter,App hii ni ya mfano tu, haina backend halisi , hivyo data zote ni dummy. Lengo langu ni kuonyesha uwezo wa Flutter katika kutengeneza apps zinazovutia kwenye UI/UX.
Features za App hii:
Home...
Nashukuru kwa mawazo yako kaka 🙏. Hii design nimeifanya tu kwa fun na practice ili ku-improve skills zangu kwenye Flutter. Sio kwamba najipendekeza au kutegemea support kutoka JF, ila ni sehemu ya kujifunza na kujaribu different ideas.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.