Recent content by cutte bee

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri -Jinsi ya ku cope unapoachana na mpenzi

    Kuwa uyaone. Utayakuta tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri -Jinsi ya ku cope unapoachana na mpenzi

    Nisiingilie uzi wa mtu ila tumeachana. Nilitaka kunwambia tu mwenye uzi hayupo peke yake tupo wengi ila kila mtu na maumivu yake. Naamini mungu ni mkubwa tutasahau na kusonga mbele. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri -Jinsi ya ku cope unapoachana na mpenzi

    Jamani mie hapa mkuu itanishinda. Ma mie nipo dilema kwenye mahusiano. Maana karibu kila kitu tumepata kwa kuwa pamoja najaribu ku muve on lakini kila nikigeuka huku naona alichonunua yaani ilikuwa ni relation ya zaidi ya miaka 12 na mtoto juu ila naona nazeeka bila ndoa. Sasa hadi najichukia...
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi 6 inches pia ni kibamia.

    Hizo si hesabu za darasa la pili tusivunjiane heshima ndugu... soma nilichoandika usinipimie kiwango cha ufahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi 6 inches pia ni kibamia.

    Tena kibamia cha hatari. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mikoani.. Waambieni wake zenu, dada zenu, mabinti zenu waache ushamba!!!

    Hawajafungua tu chuo.. sijui anasoma au ndo waliokosa sifa za kujiungaa..
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upweke unanimaliza, naombeni msaada

    Pole mkuu. Ila hauko peke yako tupo wengi tu katika tabaka tofauti. Kuna walio na kazi lakini ni wapweke kabisa. Kuna wenye familia na watoto mambo safi but still wapweke tena sana. Na kuna single mothers wanakazi na kila kitu bado ni wapweke. Kikubwa ni kujichanganya na vikundi vya michezo na...
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Hata hizo siku ulizosema wanaondoka wanaweza wasiondoke. So utegemee na hilo. Ila muage mumeo ndani na usiwape nafasi ya kusema. Ila kuwa na msimamo kwako hapo. Ratiba ya msosi panga mwenye nyumba na mengineyo. Ndugu wa mume ni lawama tu. Wewe mtu anakuja na familia nzima usawa huu, kichwani...
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

    Mala nyingi mnajua kumvua ila mkimaliza hiyo shughuri mbona huwa hamuwavalishi?, acha tu wavue wenyewe maana na kuvaa, huvaa wenyewe. Mkishapata hata mnawakimbiza na nguo zingine huwa wanavalia balabalani.
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya kuwa single

    Kuna kitu hakiko sawa hapa. Kuna kujifariji kwa maneno lakini kwa ndani Mungu ndo anayejua. Mkuu tunaelewa na tulishapitia hiyo stage.. jitahidi utaivuka tu. All the best.. kaza but...
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumfukuza wife, nataka kupandisha cheo housegirl

    Nani alikuambia ukikuta boxer kwa bag ya mke maana yake huyo mtu ana cheat?. How old are you?. Ulioa au uliozeshwa?
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumfukuza wife, nataka kupandisha cheo housegirl

    Sielewi. Hii muvi au ni kweli.. eti ananisugua mgongo umetakata. Na sijui anakuchua. Wewee mbona hakukuchua when mkeo yupo. Hayo maji ya limao na chumvi ni ya muda ukisha vuruga kila kitu uje utupe mrejesho jinsi house girl alivyokuvuruga. Hakuna free eti mshahara amekataa.. kweli mnaangamia kwa...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Moyo umevunjika, siamini msichana tena

    Ukimkubali huyo usirudi unalia siku nyingine na uzi mwingine JF. kaolewa kaachika then ndo anakutafuta mnyonge wake. Ukimkubali siku akipata mwingine anakimbia utaokota kopo kabisa. Jasili haachi asili.
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kukaguaa simu ya mpenzi wako?

    Bora ukague iwapo una mashaka naye. Nakumbuka niliwahi kukagua nilishukuru nilichokikuta. Nilijua niko na mtu wa aje. Kumbe anataka kuweka kambi kwa manzi mwingine tena anaforce king. Ahadi kibao. Salon aende huyo demu yeye anaomba alipe bili. Ujumbe mwingine hata wewe hujawahi andikiwa ambaye...
Back
Top Bottom