Ikiwa mwananchi ametoa pendekezo.. maoni au malalamiko anaweza kuambatanisha na picha kama ipo.. pale inapo pokelewa ataweza kupata notification itayoonyesha ombi au taarifa yake imepokelewa sehem flani na ina fanyiwa kazi. Kama kuna majibu yoyote ya mpango au utekelezaji atapata replay ama...
Kwa hali ya sasa masanduku ya kutolea maoni yapo kwenye ofisi husika jambo ambalo maoni kama yanamuhusu mhusika anaefungua halifanyiwi kazi au kupotezewa au wakati mwingine kuto kufwatiliwa kwa sanduku lile kabisa.
Jambo ambalo na pendekeza kufanyika ni kutengenezwe page online ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.