Haya Magroup ya Whatsapp ni hatari sana kwa Wanandoa na Wachumba. Nimeshuhudia mambo ya Kutisha

Status
Not open for further replies.
Kudadeki we mleta mada ni bonge la shilawadu ila umetusaidia kujua yanayoendelea huko kwenye magroup ya whatsapp
 
Duh kwa hiyo mkuu ulikuwa unadukuwa hilo group...?halafu mtoto akizaliwa harakaharaka utasikia mmefanana pua,au midomo ka ya shemeji nanihii..ambaye ni mdogo wako,au kipilipili kama chako yaani amehamisha kabisa,Sipendi ila basi tu...
 
Sijakuelewa kabisa. Umefanya utafiti kwa miaka mingi wakati whatsapp yenyewe haina miaka mingi. Au ndo kufurahisha watu!!!!
 
MAGROUP YA WHATSAP NI MADANGURO MAPYA YA MJINI NA MAKUADI WAPYA: NEW STRATEGY YA KUTAFUTIANA MABWANA. UTANDAWAZI AFRIKA UMETUSHINDA, HATUTUMII MITANDAO VIZURI.

NB: WADADA WANAUAMINI SANA USHAURI WA WADADA WENZAO HASA MARAFIKI, TOFAUTI NA SISI WANAUME.. WADADA WENGI HUWA HAWACHANGANYI NA ZAO.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom