Habari JF
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short course Certificate ya Secretarial duties. Nina uzoefu kidogo kwenye kazi za kijamii hasa upande wa NGO‘s...
Nina Stashahada ya Mipango ya maendeleo vijijini, lakini ndani yake nimesomea kozi sabjekt kama accounting(uhasibu),mambo ya miradi (projects),uchumi, mambo ya utawala, maendeleo ya jamii, TEHAMA n.k
Natumaini umeshanielewa mkuu.
Habari JF
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short course Certificate ya Secretarial duties. Nina uzoefu kidogo kwenye kazi za kijamii hasa upande wa NGO‘s...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.