Recent content by CUSO

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli uko wapi kuhusu tanzania yetu hii?

    Ninavyojua ni kwamba nchi yetu, TANZANIA ni nchi iliyotokana na muungano kati ya TANGANYIKA na ZANZIBAR na kuzaliwa kwa TANZANZANIA. Hivyo basi, serikali ya Tanzania ni serikali ya muungano na serikali ya muungano huwa ni moja na si mbili wala tatu. Kwa mtazamo wangu, kama wabunge wetu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ngapi unapendekeza katika muungano wa tanzania na zanzibar?!

    Mimi msimamo wangu ni serikali moja na siyo mbili wala tatu kwan TANZANIA ni nchi ya muungano siyo shirikisho
  3. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ngapi unapendekeza katika muungano wa tanzania na zanzibar?!

    Ndugu watanzania, hili suala la muungano lishaleta taabu mpaka hivi sasa. Ukitaka kuamini kauli hii ni kwamba fuatilia mikutano ya bunge maalum ya katiba. Mpaka sasa wameshindwa kuamua ni serikali ngapi ipitishwe katika muungano wetu? Ebu nasi wananchi kupitia JF, kwa kufuata sheria, taribu na...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kaswende inaniua! Msaada wana jf

    Mmmmmh! Nimegonga mwamba
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kaswende inaniua! Msaada wana jf

    Asante sana
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kaswende inaniua! Msaada wana jf

    Nipo Tabata bima, Dar
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kaswende inaniua! Msaada wana jf

    Ndugu hopitalini huko ndo nimeambulia sindano na vidonge ila tatizo kama lilipoa tu. Hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kaswende inaniua! Msaada wana jf

    Wapendwa, nina tatizo ambalo mwanzoni lilikuwa dogo lakini sasa naweza kusema limekuwa sugu. Niliwahi kufanya sexual intercourse ambayo result yake ni kuumia na kujeruhiwa kwa kojoleo. Yaan nimeambukizwa ugonjwa kaswende. Nimefanya jitihada sana kuhakikisha napona bila mafanikia. Nimetumia...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

    Oimore ainya!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

    Kweli lakin wanasema hamna lisilowezekana ila tu mambo yapangwe vizuri.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

    Huyu wangu kwakweli ni mpole, mtaratibu, msikivu na mnyenyekevu. sa nashindwa kujua kama ndo tabia yake au ndiyo 4-4-2 yake anayoitumia ili kufanikisha ndoa?!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

    Kwel walisema mwenye asili haachi asili yake. naona mnaipambisha jukwaa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

    Adhi maber omera
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

    Mimi mwenyewe ni mjaluo
  15. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

    Mimi navutiwa na jambo moja tu ni wazuri na weupe wa kutosha ila mengine yamejificha kwangu
Back
Top Bottom