Hakuna Cha "implied and Absolute" TL anachafua comfort zone ya kikundi kilichojimilikisha JMT kwa kichaka kiitwacho CCM
Hivyo mnaweza kutoa maana kadri ya mtakavyo ili TL mmezuie kuwaweka mchanga kitumbua chenu
Waliojimilikisha JMT wapo kwenye Vyombo vya vyote kuanzia mahakama,Polisi na Jeshi...
Kwanini unadhani sio stagging na hao ndugu ukomo wao wa kufikiri unaishia kwa kuamini kila walichoambiwa na Polisi
Muda tangu kupatikana mwili hadi kupata taarifa kwa ndugu unatosha kabisa kutengeneza matukio fake ya kuaminisha wajinga
Polisi wakiokota mwili usiotambilika kwanini...
Kwa muda miaka mingi sayansi unayotumia kama rejea iliidanganya Dunia kuwa ulaji wa mafuta ndio kisababisho kikubwa Cha ugonjwa wa moyo
Sayansi hiyo hiyo hadi muda huu imeendelea kudanganya umma kuwa magonjwa ya Presha na kisukari ni ya kuishi nayo kwamba ukipatwa nayo hayana tiba lakini ukweli...
Waislam wanaye mungu wao anaitwa Allah, huyu ni mungu wa makuraish wa Makkah tangu zama. Muhammad alimtengeneza na kumtumia kuwa ndiye mungu wa pekee astahiliye kuabudiwa na wafuasi wa dini yake Islam
Mungu wa Wakristo anaitwa Yahweh.
mungu wa Waislam anaitwa Allah.
Mpaka hapo nafikiri utakuwa...
Umewahi kusikia kitu kinaitwa Fallacy of definition ?
Tikikosa common ground ya kumdefine Mungu ndicho chanzo kikuu cha mjadala huh.
Uwepo wa Mungu hauna utata ila namna Mungu anabyotafsiriwa na watu mbalimbali kwa kupenda au kutokupenda ndio chanzo cha kukosa hekima na ujuzi.
Hata wewe unaugua...
Makuzi yana athari Sana katika kufikiri.
Kutamka bwabwa ni kumtusi MTU au wewe ndiye bwabwa au. Gay au mse.nge haya maneno sio matusi ni maneno ya sifa ya MTU atendayo kinyume na maadili ya Mungu. Akienenda sawa na watu wasio na tumaini.
Simjui Mungu wako namjua Mungu wangu aliyekuja dunia...
Likikutokea wewe na julitafsiri kuwa baya sio lazima liwe na sifa sawa na utoayo wewe.
Tunatofautuana namna tunavyopokea vitu vibaya na vizuri kutokana na asili ya kibaologia na mazingira hivyo tafsiri yako haina mashiko.
Inategemea namna MTU atavyolipokea tukio husika.
Maandiko ya Mungu wangu aliyemtuma Bwana Yesu Kristo.
Hii Habari ya waislam na maandiko yao ni moja ya juhudi za maksudi ili Mungu wa kweli ajithibitishe ni hekima kidogo inatakiwa kujua kwamba Mjadala ni kuwepo kwa Mungu lakini siyo kila aitwaye mungu ndiye Mungu ni ayesema yupo.
Mungu muumba...
Sasa umeandika nini ? Kwanini unasema neno bwabwa ni baya ?
Ni baya kwa mtazamo gani ?
Ninajua kwamba Mungu yupo na ni Roho na kwa Mimi amewahi kutembelea dunia akiwa katika umbo la binadamu. Kupitia vinavyoonekana waweza kutambua uwepo wa visivyoonekana.
Embe au tunda lolote kudondoka kwenda...
Magonjwa huwafika watu bila kupenda ?
Matetemeko pia huwafika watu bila kupenda ?
Tsunami huwafikaje watu pasipo kupenda ?
Jaribu kueleza kwa namna ambayo MTU anayefikiri magonjwa ni mazuri kwa pharmaceutical industry aelewe. Sio unalundika tuu.
Maana Kama unakula pasipo hekima, hufanyi kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.