Hii inasababishwa na eneo unalosalia, yaani wenzetu misikiti yao inamakapeti ya manyoya kwa hiyo hata asujudu vipi haiwezi kutoka sijda.
Wakati asilimia kubwa ya misikiti yetu kapeti zetu ni ngumu ndiyo maana tunatoka sijda sawa na kusema huyu analala kwenye godoro na huyu analala kwenye mkeka...
Wenye akili watajuwa jaji warioba na serikali kipi kinafaa kupumzika,uzuri mriyoyafanya hata kama mrifanyia gizani hamkufanya kwa bahati mbaya hata wenyewe mnajua mlifanya
mimi siyo mtoto kama unavyofikiri na kusimamia haki hakuitaji umri,angalia leo hii watu wanatekwa wanauwawa mnaiba kura halafu mnakuja na drama za kuwafukuza shule watoto wadogo halafu unajifanya wamesimamishwa, kwa kosa lipi?naona mmejipa haki miliki ya kutawala milele sababu tu mnahaki ya...
zamu yenu inakuja kama hutalipiya wewe watalipia wanao, Mozambique wameshaanza kunyolewa wananchi wanachoma ofisi za Frelimo na kuvamia vituo vya polisi na kufungua magereza kuwaachia wafungwa
Kwa hiyo angekuwa na cheo cha Umungu asingeiteketeza miji ya Sodoma na Gomoro sababu atawaudhi waumini? halafu mnamuita mtakatifu, mtakatifu anapingana na maamuzi ya Mungu
kwa hiyo atakaporudi ataachana na Ibada aliyokuwa akiifanya hapo kabla halafu ataiga ibada za wazungu?au ataenda kusali na Viongozi wa dini wanaosapoti ndoa ya jinsia moja?mda mchache mambo mengi
Hivi unaonaje kama ungekuwa unachukua miaka au umri wa watu wengine unajiongezea ili uishi miaka mingi na uriowapola ukiwaacha wakijifia,je ungeuwa wangapi?una roho mbaya sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.