Nimesha maliza diploma sasa kwenye fomu ya kujiunga na degree kuna kigezo kimeandikwa niwe na Equivalent Qualifications Certificates ndo nataka nijuwe ni nini
Naomba kuuliza....
?..Je ni muda gani chuo husika au college kinatuma matokeo kwenda nacte kwajili ya confirmation au confirmed by nacte
?..Na Je Nacte wanatumia muda gani kufanya confirmation ya matokeo au ku confirm matokeo yaliyo tumwa na chuo..
Nimemaliza Diploma
Naomba kuliza wadau,
Hivi kati ya hizi kozi, ipi ni nzuri sana?
Procurement and Supply, Accountancy and Finance, Taxation, Information Technology (IT)
Na je, ni kwanini unadhani ni nzuri?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.