Recent content by CTP

  1. C

    Siku ya tano sasa NACTE wanasema kuna tatizo la mtandao kutoa transcript, nifanyaje?

    Yaani hata na leo kafika ofisini kajibiwa MTANDAO UPO CHINI, sijui nn afanye tu ili afanyiwe, kweli hakuna mwenye kusaidia katika hili?, Kwamba na hili hadi tuwapigie magoti au kuhusisha viongozi wa juu!, Kama hivyo hakuna mwenye anaweza saidia viongozi hawa kuoneshwa huu usumbufu...
  2. C

    Ombi, ushauri au ufafanuzi ofisi za NACTE ofisi za Dar es Salaam

    RUSHWA hawezi toa, na huwa ikifikiaga hapa huwa nawaza sana familia zetu hizi mtoto afikie jaribu hili, yaani ni yeye na MACHOZI YAKE na kukufuru tu juu ya hali anapitia
  3. C

    Ombi, ushauri au ufafanuzi ofisi za NACTE ofisi za Dar es Salaam

    Hatari sana dogo anapitia wakati mgumu sana hadi nawaza jumamosi siku aliyosema anarudi hata asipopata kama akifika atakuwa sawa, ukizingatia alivyopata mtaji kwa shida na mtaji katumia wote na alichokifuata asipate.
  4. C

    Ombi, ushauri au ufafanuzi ofisi za NACTE ofisi za Dar es Salaam

    Dogo kasota mtaani miaka kadhaa,leo mtu kafungua ofisi kawafanyia INTERVIEW dogo kapita na kinachohitajika ni TRANSCRIPT naóna anarudi mtaani kiutani utani na mtaji kaishiwa na hali yenyewe hii sijui maisha yake yatakuwaje tu. Kuna muda huwa naona vile WAZIRI D. GWAJIMA anashughulikia mambo hapa...
  5. C

    Ombi, ushauri au ufafanuzi ofisi za NACTE ofisi za Dar es Salaam

    Habari zenu ndg zangu, Ndugu zangu naomba ufafanuzi au ufahamu na ufafanuzi juu ya hali anayopitia mdogo wangu, mdogo wangu kafuata TRANSCRIPT yake ofisi za NACTE DAR tarehe 29/05/2024 akajibiwa arudi baada ya may-mosi yaani tarehe 02/05/2024 na akarudi tarehe hzo lakini alijibiwa MTANDAO UPO...
  6. C

    Siku ya tano sasa NACTE wanasema kuna tatizo la mtandao kutoa transcript, nifanyaje?

    Habari zenu ndg Watanzania na wasio Watanzania tulioko humu ndani? Ndugu zangu awali ya yote poleni na majukumu zaidi shukurani kwa MUUMBA. Ndungu zangu nipo mbele zenu kwa ombi moja la kuomba ufafanuzi, ushauri juu ya hali anayopitia mdogo wangu hapo ofsi za NACTE Dar, mdogo wangu huyu ni...
Back
Top Bottom