Recent content by Cseries

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya kuwatenga single mother

    Baadhi ya wanaume tumekuwa malimbukeni wa kuogopa kuwaoa single mother. Sijajua tatizo ni mtu kuogopa majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta na mwanamke ama ni nini.!!. Kama ni mtu kujiaminisha kuwa huwezi oa mwanamke aliyekwisha zaa ndugu zangu mnajidanganya. Kwa dunia ya sasa wanawake wanatoa...
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Nna umri wa miaka 36. Natafuta single mother aliye na mtoto mmoja tu. Sababu ya kuwa single iwe ni baba mtoto wake kufariki ama alizalishwa bahati mbaya na mme wa mtu. Sifa zake 1.Age 20-28yrs. 2. Maji ya kunde ama mweupe. 3.Awe na elimu at least ya form four. 4.Awe na mawazo ya kufanya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Yanahitajika magari ya kukodi yaliyo katika hali nzuri kwaajili ya shughuli za kampuni

    Nissan Xtrail hamuitaji mkuu?.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Tin number zinapatikana haraka, kibali cha ujenzi kinatolewa kila wiki,viongozi wamekuwa karibu na wananchi kutatua kero zao e.g Mawaziri, umeme umesambazwa vijiji vingi, wakulima tumeruhusiwa kuuza mazao nje, n.k
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tunafundisha fani za urembo, make up aina zote, kucha na kuchora henna

    Ada ni shilling ngapi? Na mafunzo yanachukua muda gani?
Back
Top Bottom