Recent content by Crush cruise

  1. C

    Simulizi: Chozi Langu

    kuna changamoto kidogo nilipata ,lakini naahid badae nitaleta mwendelezo
  2. C

    Simulizi: Chozi Langu

    SEHEMU YA 04; Endelea ..... Niliendelea kumkimbilia lakini bahat mbaya alifanikiwa kulifungua lile beg na alitoa pakt moja la unga akaanza kucheka huku ananidolishia ,sikuwa nimemfikia bado maana alinizidi mbio bahati mbaya sikuwez kumzuia kufungua lile pakti la madawa ,bhas alilifungua na...
  3. C

    SIMULIZI: Notebook

    Story nzur 😍
  4. C

    Simulizi: Chozi Langu

    SEHEMU YA 04 ; Endelea ; Pale pale kijasho kilianza kuchuruzika ,tumbo lilivuruga nilitaman kwenda msalani lakin gar lilikuwa kwenye speed na ndo kwanza safari ilikuwa imeanza . "Dada vipi una tatizo??"aliniuliza huyo mwanajeshi alyekuwa serious wala chembe ya tabasamu usoni mwake...
  5. C

    Simulizi: Chozi Langu

    SEHEMU YA 03; MTUNZI R.S.S Endelea ....... "Ma...ma ...mad..madam naomba tuongee usifikie huko tafadhali"niliongea huku nikiwa bad nalia ,pia niliamua kumpigia magoti huenda angetulia kunikiliza nataka kumwambia nini "Sina cha kuongea na wewe binti ,nataka jibu moja tu ,jibu lako ndilo...
  6. C

    Simulizi: Chozi Langu

    😊😊
  7. C

    Simulizi: Chozi Langu

    Ni nzur kweli ,endelea kuifatilia mkuu
  8. C

    Simulizi: Chozi Langu

    Usijali kiongozi vinakujaa
  9. C

    Simulizi: Chozi Langu

    Asante mkuu
  10. C

    Simulizi: Chozi Langu

    SEHEMU 02; Endelea;, Nilifika kwa bizzo nikiwa nimeloa chapa chapa ,nilisimama kwa dakika kadhaa pale nje ya mlango wake huku nikijibanza banza kuikwepa mvua japo nilikuwa nimeloa tayar ,niliamua kubisha hodi na baada ya dakika kadhaa sauti ya kiume ilinijibu "Ooy nan mwana unaleta usumbufu...
  11. C

    Simulizi: Chozi Langu

    MTUNZI R.S.S Dondoo; Wengi walinifahamu kwa jina la shaky (23)au tom boe licha ya mama angu kunipa jina la shakira lakin mtaan hawakupendelea kuniita shakira kwajinsi nilivyokuwa najiweka I mean nilipendlea sana kuvaa kiume licha ya sura nzuri nilyokuwa nayo ,.Chozi langu limeanza kutoka pale...
  12. C

    New member

    shukran nmekarbiaa
  13. C

    New member

    Asantee sanaa
  14. C

    New member

    😁nitakutumia passport
  15. C

    New member

    😁😁
Back
Top Bottom