Recent content by Cruiser

  1. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya Kulink/ Kuregister Paypal account Tanzania

    Mkuu unafunguaje account PayPal na ili uweze kulipwa na kulipa?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Mkuu ushauri mzuri sana. Lakini umepima viwango vya elimu tulivyopewa? Shida iko hapo ndugu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Kwani wakienda na nguo za kawaida inawapunguzia nini? Matukio yakitokea wanakimbilia nyumbani kubsdili nguo na kuvaa ya kijani ili tuone hicho chama kinawapenda watu, mbona hamkwenda na uniform kufunga injini mpya za kivuko kuokoa maisha ya mamia ya Watanzania wenzetu waliozama majini?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Hii pia walifanya Arusha kwenye msiba. Sielewi wanaposema tuwe wazalendo huku wao wakijitenga kiitikadi.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

    Asichomaanisha kipi? Mtu mwingine asiye na wajihi kama wa Mwigulu angeongea maneno ya Mwigulu angeeleweka. Unajua kabisa huyu chui unakula wanyama wengine kisha anasema simba hakufanya vizuri kumla swala asiyenona. Unadhani unaeleweka?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

    Sijajua Mh Migulu analalamika nini hapa. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni" 37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, hilo baraza litajueaje kuhusu afya ya raisi lisipoifuatilia? Tuna haki kujua afya ya kiongozi wa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Back
Top Bottom