Recent content by Crucifix

  1. Crucifix

    Need assistance: SUSPENDED FACEBOOK ACCOUNT

    Anyone here who can help me unsuspend my facebook account? Please inbox for arrangements
  2. Crucifix

    EWURA yaonya uuzaaji petrol kwenye madumu

    Mimi leo vijana wangu wamepeleka jenereta petrol station (sheli) kwa toyo. Sasa jirani yangu mashine yake inakunywa lita 100 na ilishushwa kwa crane. Kazi anayo
  3. Crucifix

    Meza za Sherehe, Viti vya Harusi, Mapambo na mahitaji mengine ya sherehe

    1. Meza ya Sherehe 450,000 (ya mzunguko wa viti 10 -12) 2. Kiti cha sherehe 80,000 (ni kiti cha kilo 7, sio vile vya 50,000) 3. Vitambaa vya Meza 50,000 (rangi mbalimbali) 4. Kreti ya Glasi 100,000 (zipo za kuhifadhi glasi 25, 36 na 49) 5. Viti vya Maharusi 2,500,000 (kutoka nje) 6. Stuli za...
  4. Crucifix

    Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  5. Crucifix

    1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

    Chifu ni jina la kikoloni. Cheo chao kwa lugha yao waliitwa nani?
  6. Crucifix

    Tundu Lissu ndiye mtu Jasiri zaidi Tanzania tangu tupate Uhuru

    Mafanikio gani zaidi ya ngonjera za kila siku? Kitu cha maana mpaka sasa ni kuwaachia mashehe na kuwarudishia kina Mbowe pesa za faini; lakini nacho ni dosari kwani nchi inaongozwa kwa utashi wa rais au taasisi thabiti?
  7. Crucifix

    Kipande cha SGR Morogoro to Makutupora 61%

    Kuna kipande toka mwaka juzi tuliambiwa kimefikia asilimia 88 mpaka leo sijui zimepanda au kushuka - Dar mpaka Moro
  8. Crucifix

    Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

    Bodi ya ligi walipiga simu harakaharaka kwa vilabu. Klabu yangu pendwa haikukubaliana na ujinga huo ikapeleka timu kwa mujibu wa kanuni. Klabu nyingine ikakubali muda mpya. Mechi ikavunjika. TFF wakasema wamesikitishwa, Yanga wakasema wamesikitishwa, Simba wakasema wamesikitishwa na wakadai...
  9. Crucifix

    Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    KWANI HATA MAGUFULI SI WALIKANUSHA KUWA SIYO MGONJWA!!!!!!!!!!!! NANI ANAWAAMINI TENA HAWA WATU? WE STLL CAN'T BREATHE
  10. Crucifix

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Kama hakuna limit mwambieni aache kutujambia
  11. Crucifix

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Upande ulioshupaza shingo ni upande wa mkundugai peke yake
Back
Top Bottom