Recent content by cronic critics

  1. C

    JamiiForums Tanzania 'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    Hapa kama tungekuwa tunajua kuwa AshaRose Alibaki kuwa lecturer wa UD aliepewa leave wakati kuna Malecturers walilazmishwa kujiuzulu ili waingie kwenye siasa wa vyama pinzani bas tungekuwa na mengi ya kfikiria na kufanyia maamuz.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ulimboka, Mwangosi wamponza Kikwete UN

    Kama wanadhani watatuua tulishakufa tangu kale na kama wanadhani tumekufa Mawazo yetu yapo na mwishoni kabisa watatekeleza mawazo yetu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

    Kuna lugha ya kufikiria na lugha ya kutafsiria Wasalit hawana tafsiri sahihi huenda ni kutokana na kutokuwa na lugha na zote. HII NI VITA dhidi ya wasio na lugha 1 ama wasiona lugha kabisa.
Back
Top Bottom