Recent content by crocuta crocuta

  1. C

    Ngumi yamuua dereva wa daladala

    Sawa muungwana nimekuelewa, ulimi hauna mfupa
  2. C

    Ngumi yamuua dereva wa daladala

    Bujibuji habari nilizozipata ni kwamba yule dereva amechukuliwa msukule na hao ndugu zetu wa kanda ya ziwa, nawe pia inaelekea ni wa kuko au sio?
  3. C

    Ngumi yamuua dereva wa daladala

    Wacha afe manaake wao wakiwa wanaendesha daladala huwa wanatutesa sana madereva wa magari mengine madogo, wacha rife
  4. C

    Kuna nini KCMC?

    Acha vijana watoe dukuduku zao, mbona wawaambie eti ni mashambulizi binafsi? au limekutouch wewe? tujuze bwana
  5. C

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Mie nafikiri wale wote wanaounga mkono ufisadi hawastahili kurudi, wakiongozwa na Peter serukamba na Makongoro mahanga, na wale wanaofaidisha familia zao pia wasirudi bngeni
Back
Top Bottom