Recent content by crocodile

  1. crocodile

    Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Mkuu acha kujianika, simtetei Magu lakini sidhani kama alisema Serikali itajenga viwanda na kuviendesha. Kama nchi tulishatoka huko tangu zama za Mkapa. Enzi za Nyerere, siasa za uchumi zilikuwa tofauti na hizi, ndio maana Serikalini ilikiwa inamiliki viwanda na hata migahawa. c
  2. crocodile

    Mungu yuko wapi?

  3. crocodile

    Mungu yuko wapi?

    God is a Spirit (Roho). God is Omnipotent( Mwenye Ukuu usio na mipaka), Omnipresent (Yupo kila mahali kwa wakati mmoja) Yuko muda wote na kila mahali. Yupo sehemu kuu kwenye Ulimwengu wa roho (Spritual realm). Na zaidi, yupo ndani yako kwenye pumzi yako ya uhai(spirit) ambayo imetoka kwenye...
  4. crocodile

    Mungu yuko wapi?

    He is beyond our understanding. Kwa akili yetu ya kibinadamu haitatosha kumjua. Toka tu ndani ya mwili, ubaki roho na uingie kwenye ulimwengu wa roho utapata ufunuo zaidi. You are a spirit with soul who live in a body.
  5. crocodile

    Mpaka sasa milioni 15 zachangwa kumuokoa Sabaya, asanteni Watanzania

    Hiyo namba 2 ndio kazi ya Kiongozi wa Serikali wa wilaya?! Ficha aibu zako wewe.
  6. crocodile

    Free Sabaya

    Umeboa sana kusema alipambana kurudisha Hai toka upinzani kama vile alikuwa anapambana na gonjwa fulani la kuambukiza. Mimi sio mpinzani lakini naelewa kuwa Tanzania ni nchi huru ya vyama vingi, hivyo vyama wa upinzani vina uhalali wa kuwepo Hai na popote Tanzania. Si Kazi ya kiongozi yeyote wa...
  7. crocodile

    Free Sabaya

    Ni kazi ya Mkuu wa Wilaya ambaye ni Kiongozi wa Serikali kupambana na Chadema? Kwanini anatuhuma Arusha wakati kituo chake cha kazi ni Hai? Kila mtu avune alichopanda aisee.
  8. crocodile

    Mbunge: Wanawake acheni kutoa huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Maelezo mengi ya nini, kalivue tu.
  9. crocodile

    Hivi ilikuwaje Rais wa nchi akaenda kuigiza akiwa bado madarakani?

    Watanzania wanaongoza kwa kujipa stress zisizo za lazima!
  10. crocodile

    Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Mimi sijaelewa hapo kuwa umemwita Ndugu kwa sababu hastahili kuitwa Mheshimiwa, ina maana sisi akina “Ndugu” wengine unatuchuliaje?!
  11. crocodile

    Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

    Kwanini wamevaa nyekundu na kujitenga na sisi WanaYanga ?! Au sisi hatutaki Katiba mpya!
  12. crocodile

    Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

    Nani anatakiwa aamue nini ni usaliti na nani ni msaliti, Rais wa nchi?! May God Almighty have mercy on your soul.
  13. crocodile

    Rais Samia anakabidhiwa Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa Ushindi wa Ujenzi Miundombinu ya Usafirishaji

    Sawa, ni kweli nimeelewa, lakini na “hivo” nayo sio kiswahili 😎
Back
Top Bottom