Recent content by criticalbutstable

  1. criticalbutstable

    JamiiForums Tanzania Belgium ndio team yenye nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia 2018

    France wanatimu nzuri ukiangalia mchezaji mmoja mmoja lakini uchezaji wao ni wakawaida mmno
  2. criticalbutstable

    JamiiForums Tanzania Wasomi, Maprofesa, Madaktari na wanazuoni, ni hatari kwa nchi

    nimeipenda sana hii.....sijui ni yakwake au kakopi
  3. criticalbutstable

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Hi, Najitokeza kwenu kutafuta msichana/mwanamke ambaye badae atakuwa mke. Dini yoyote, umri asizidi 30, elimu yoyote ila sura inategemea. Mimi ninakazi nzuri kwenye balozi hapa nchini, elimu ninayo, umri 32 sina kitambi mengine tukutane inbox. Karibu sana aliye serious.
Back
Top Bottom