Recent content by critical

  1. C

    Wanasheria, tusaidieni kuipinga Sheria ya Makosa ya Mtandaoni Mahakamani

    Tangu kabla ya kujadiliwa na kupitishwa kwa sheria hii bungeni kumeibuka mijadala mbalimbali kuhusu uhuru wa kutoa maoni ambao upo kikatiba. Kuna wanaosema sheria hii inakwenda kupoka uhuru huo na wengine wakisema inatishia pia wisleblowers ambao huibua tuhuma mbalimbali dhidi ya serikali na...
  2. C

    Mwigulu Ahsante Kwa Kutetea Kodi Yetu Kwenye Escrow

    Tanzania ni nchi pekee ambayo wezi wanaambiwa walipe kodi ya hela waliyoiba halafu waende zao. Sijaona mantinki ya hela ya wizi ya escrew kutozwa kodi kwani kodi inatozwa kwenye mapato halali. Kutoza hela ya escrew kodi ni namna nyingine ya kuhalalisha kuwa ile hela haijaibiwa na si mali ya...
  3. C

    Lukuvi: Hakikisheni anayejiandikisha ana kitambulisho

    Lukuvi alipotembelea uandikishaji wapiga kura maeneo ya bunju leo amewaagiza waandikishaji kuhakikisha anayejiandikisha ana kitambulisho hususuni cha uraia. My take Ni mikoa mingapi ambao wamepata vitambulisho anavyosema Lukuvi? Hili huenda likawa kikwazo cha watu kuandikishwa hasa maeneo...
  4. C

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Huku mabibo farasi jimbo la mnyika UKAWA wamechukua mtaa huu wa mabibo farasi.
  5. C

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Huku kwetu mabibo farasi ukawa walitangazwa tangu jana saa nne usiku baada ya wananchi kusubiri hadi kikaeleweka
  6. C

    Tuwakatae wote waliosema escrew si hela zetu

    Wanajf naomba tuwaorodheshe wabunge wote waliosema fedha za escrew si za kwetu na tuwapige vita wote wasirudi bungeni kwani ni maadui wa rasilimali zetu. ni zamu yetu kuwawajibisha.
  7. C

    Pinda kushitakiwa kwa kauli zake tata "wapigwe"

    Wanasheria wa LHRC wameanzimia kumpeleka mahakamani waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa kauli yake aliyoitoa bungeni akijibu maswali ya papo kwa hapo siku ya alhamisi. Kwa mujibu wa katiba kauli anayoitoa mbunge bungeni haitahojiwa na mamlaka yeyote ya nchi kwa mujibu wa haki na madaraka ya bunge...
  8. C

    Uhuru wa habari kwenye rasimu ibara ya 30 ibara ndogo ya 4 haitaminya uhuru wa habari?

    Nimepitia rasimu ya katiba ibara ya 30 ibara ndogo ya nne naona kama inatoa mwanya kwa kuingiza sheria kandamizi dhidi ya habari kama zinavyolalamikiwa sasa. Wajuzi wa sheria naomba mnipe ufafanuzi kidogo kwani inasemekana kwa sheria za sasa vyombo vya habari vinavyanya kazi kwa hisani hisani...
  9. C

    Wanajf naomba link ya kuangalia bunge kupitia mtandao

    Tafadhali nimehangaika sana kutafuta link niweze kuangalia bunge kupitia mtandao sijaweza kupata. Naomba mwenye link anijuze tafadhali nami niweze kupata yanayoendelea huko.
  10. C

    Nape amtaka Mnyika kujitokeza mbele ya Wananchi kuweka wazi Kiwango cha Elimu yake

    Nina wasiwasi na elimu ya Nape hata kama ana PhD sijui masters. Nape anashindwa kuelewa elimu ya mtu haipimwi kwa wingi wa vyeti alivyokusanya isipokuwa ni jinsi gani anatumia elimu aliyopata kutatua matatizo ya jamii kitu ambacho PhD na hao maprofesa wa magamba wameshindwa. Ufanisi wa mnyika...
  11. C

    Godbless Lema bado ngoma nzito, makada wa CCM Arusha wazidi kumng'ang'ania

    Nakumbuka kuna msanii mmoja aliimba kuwa hakimu na wakili lao moja kumzungusha mwenye kesi ili waendelee kumfaidi. Hiki ndicho anachokifanya wakili wa hawa magamba kuwashauri kuwa waendelee kufungua makesi yasiyo na ishu. Hapa ni wakili anataka kuendelea kutengeneza hela tu maana hata...
  12. C

    Naishauri CHADEMA kwenye M4C zake ielekeze nguvu nyingi kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa

    Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa vyama karibu vyote mapambano yao ni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Tukumbuke kuwa nguvu kubwa inayoisaidia CCM kushinda uchaguzi mkuu ni ushindi mkubwa wanaokuwa nao kwenye serikali za mitaa kabla ya uchaguzi mkuu (wenyeviti wa serikali za mitaa...
  13. C

    Prof. Waziri Anna Tibaijuka anafanyia kazi ahadi ya Dr. Slaa ya punguzo la kodi vifaa vya ujenzi

    Wakati akiweka jiwe la msingi miradi ya ujenzi wa nyumba za shirika la nyumba la Taifa Prof. Anna Tibaijuka amesema wameiomba serikali ipunguze kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili shirika hilo liweze kujenga nyumba za garama nafuu kwa watanzania. Hoja hii kwa mara ya kwanza ilitolewa na Dr. Slaa...
  14. C

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Kwa yeyote mwenye link ya kusikiliza bunge online naomba nipatiwe tafadhali nisikilize hoja ya Zitto Kabwe
  15. C

    Upotoshaji huu wa Mwigulu Nchemba ni kwa faida ya nani?

    Leo asubuhi nimefuatilia mahojiano yaliyorushwa na TBC 1 ukiwashirikisha Mwigulu Nchemba na Zitto Kabwe. Mpango wa maendeleo wa taifa uliopitisha mwaka jana na bunge na kusainiwa na raisi unaanisha wazi kwamba kwa kila bajeti serikali itatenga 35% ya mapato ya ndani kwa ajili ya mipango ya...
Back
Top Bottom