Recent content by Criss rayah

  1. Criss rayah

    Mpangaji agoma kuhama baada ya mkataba kuisha. Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?

    Mpangaji uking'ang'ania kukaa kwenye Pango wakati muda wako umeisha, unageuka kuwa Mvamizi, na hapo ndipo Sheria nayo inakugeuka, haina huruma nawe tena, utaondolewa kinguvu, huna haki ya kupewa hata Notisi/Taarifa ya kuondoka, ukiondolewa kinguvu bila Taarifa *ukapoteza vitu vyako (mali zako...
  2. Criss rayah

    Ulikuwa unadhani utakuwa umeshanunua vitu gani na kukamilisha nini maishani ukiwa na miaka 30 lakini mpaka sasa hola?

    Sijawahi kuwa na ndoto kubwa kiivyo, kama kununua gari sijui kujenga, ila ***** ni tough kwa kweli: hata TV sina sahivi.
  3. Criss rayah

    Mpangaji agoma kuhama baada ya mkataba kuisha. Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?

    Sio kweli. Kodi ikiisha wewe ni mvamizi kwenye eneo la mtu: kwa kifupi huna haki katika eneo hilo.
  4. Criss rayah

    Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

    The People v. O. J. Simpson: American Crime Story
Back
Top Bottom