Recent content by crispin payovela

  1. crispin payovela

    Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

    Mimi ishatokea demu fulani hiv alikuwa anakataa nisishike simu yake nlichofanya nikumzalisha watoto wawili saiz mm ndio mfalme kashika adabu!
  2. crispin payovela

    Wanawake kwanini mnakuwa na dharau kwenye mahusiano mkishajua Mwanaume hana pesa?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kweli unaendesha baiskeli ambayo haina bleki mfa wowote inakubwaga
  3. crispin payovela

    Nina kazi lakini sina amani nayo...

    Kuacha kazi kabla hujapata kazi hapo unatafuta tatizo lingine mtaani hakufai
  4. crispin payovela

    Wanawake kwanini mnakuwa na dharau kwenye mahusiano mkishajua Mwanaume hana pesa?

    Kwasababu nikikaa peke yangu nikikumbuka najaa upepo we acha tu!
  5. crispin payovela

    Wanawake kwanini mnakuwa na dharau kwenye mahusiano mkishajua Mwanaume hana pesa?

    Sababu hizi kesi wengi naona wanakutana nazo hivyo naamini asilimia kubwa wako hivyo
  6. crispin payovela

    Wanawake kwanini mnakuwa na dharau kwenye mahusiano mkishajua Mwanaume hana pesa?

    Kumbuka yeye kupata hiyo kazi mimi na mchango mkubwa sana ina maana wema wangu hakumbuki??
  7. crispin payovela

    Wanawake kwanini mnakuwa na dharau kwenye mahusiano mkishajua Mwanaume hana pesa?

    Kwahiyo wanaume wasio na kipato hawana haki ya kupendwa? Hii dunia hii ngumu sana!
  8. crispin payovela

    Wanawake kwanini mnakuwa na dharau kwenye mahusiano mkishajua Mwanaume hana pesa?

    Mnamo miaka ya 2015 nilianzisha mahusiano na mwanamke mmoja hivi, sasa baada ya kipindi kifupi akapata ujauzito kumbuka hapo mimi nilikuwa sina kipato kinachoeleweka ila pia yeye alikuwa hana kipato kinachoeleweka, sasa kwa bahati nzuri mwenzangu katika kipindi hicho hicho akapata kazi akahama...
Back
Top Bottom