Recent content by CripWalkin' Nephew

  1. C

    JamiiForums Tanzania Super Bowl LVIII

    Fainali ni 02/11.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Super Bowl LVIII

    Fainali ni 02/11.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Super Bowl LVIII

    We abandoned what worked well throughout the season, which is a well-balanced offense (running and passing game). Our defense was very poor against the Chiefs. We got punched by early Chiefs plays and never full recovered. If we can keep our defense intact for the next few seasons, I think we...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Super Bowl LVIII

    Nahuzunuka timu ninayoishabikia (Baltimore Ravens) imetolewa. Kwa sababu tumetolewa na Kansas City Chiefs, nitakuwa naishabikia San Francisco 49ers kushinda Lombardi trophy lol. Ninaishi Marekani toka 1996. Hata kama hushabikii American football, hii mechi haiepukiki (kuanzia wiki moja kabla ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

    Ninachoweza kusema ni hiki hapa. Nimekuwa shabiki wa mpira wa miguu kwa miaka 45 sasa. Ni mshabiki wa Simba toka nimezaliwa. Kama mshabiki wa mpira wa miguu, kuna kipindi cha mazao (kuchukua ubingwa) na kipindi cha ukame (kukosa ubingwa). Hii haikuanza miaka ya hivi karibuni. Kuna kipindi cha...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Naomba nitoe maoni yangu. Ukiwa umeshafika hatua ya robo fainali kwenye CAF Champions League, kwa nafasi kubwa utakuwa unapambanishwa na timu kongwe na zenye mafanikio makubwa sawa au kuliko wewe. Ni timu zenye uwezo mkubwa kiuchumi na uwanjani pia. Usitegemee timu ndogo tena. Njia pekee ya...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba kuingia Robo Fainali katika mashindano yao wanayoshiriki siyo mafanikio

    Naomba nichangie mada. Naomba kutoa mfano. Wewe ni mzazi, na mwanao tangu darasa la kwanza hafaulu au hafanyi vizuri kwenye mitihani yake. Anapata D na F kila somo (wanatolewa hatua ya awali ya mashindano ya CAF kila mwaka). Unatoa msaada wa kumpa moyo na msaada wa kusoma zaidi na pia kulipia...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kuinua na Kupika Vipaji vya Michezo Tanzania

    Naomba kwa heshima nitofautiane kidogo na wewe. Ninaelewa tofauti kubwa ya kiuchumi kati ya Marekani na Tanzania. Lakini, hata kwa kidogo kilichopo kinaweza kutumiwa sawasawa kukuza michezo. Ni hatua ndogo ndogo zinaweza kuchukuliwa kama Umisseta na academies kama ulivyosema. Tukiangalia kwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kuinua na Kupika Vipaji vya Michezo Tanzania

    Nimecheza sana hizo mechi. Tulikuwa tunafunga mziki pale Tanesco halafu mechi zinachezwa. Miaka kweli inaenda.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kuinua na Kupika Vipaji vya Michezo Tanzania

    Habari za leo. Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi yameangukia kwa wachezaji, walimu, TFF, serikali, etc. Naomba niwasilishe maoni yangu kutokana na mimi...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tuambiane ukweli kwa Mpira mbovu uliochezwa na Simba SC Kipindi cha Pili dhidi ya Mbeya City ikicheza na Azam na Yanga itafungwa

    Naomba nitoe maoni yangu. Kadri Simba inavyozidi kupata mafanikio ya ndani na nje ya nchi kwa miaka ya karibuni, ndivyo timu inapoangaliwa na kuchambuliwa zaidi na wachambuzi na wapenzi wa kandanda kwa ujumla. Timu inaweza kufanya makosa ambayo timu zingine yanafanya karibu kila mechi, lakini...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Magufuli anataka tuwe na Club ya Taifa

    Naomba kutoa maoni yangu. Kama katika maisha yako huna mipango ya maendeleo ya muda mfupi na muda mrefu, hutaweza kufanikiwa. Upeo wa kuona zaidi ya leo na kesho ni tatizo kubwa sana kwa maendeleo ya nchi zetu za Afrika. Naomba kutoa mfano hai. Ninaishi Marekani (miaka 25 sasa). Nimeona jinsi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Edibily Jonas Lunyamila, miguu ya Dhahabu, kichwa chenye mamlaka ya kusoma alama zote ndani ya Uwanja

    Binafsi, nilifanikiwa kushiriki mashindano ya Umisseta kwa kanda ya Mashariki kwa mwaka 1990 na 1991 (au 1991 na 1992. Kumbukumbu imenitoka kidogo). Mashindano haya yalifanyika Zanzibar na Songea. Nilikuwa nacheza mchezo wa kikapu. Nilivyomwona Zanzibar wakati anacheza, nilijua atakuwa nyota...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Jezi feki haziepukiki

    Nafikiri bei za jezi za timu za Tanzania (kwa mfano Simba na Yanga) zinalenga kuwa nafuu kutokana na uhalisi wa kipato cha wananchi. Naomba niwasilishe mfano. Mimi ninaishi Marekani. Mchezo wa kikapu ni maarufu sana hapa. Ukitaka kununua jezi halisi (authentic) ya wachezaji maarufu kama Michael...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Ninaona umuhimu mkubwa sana wa Simba SC kuweza kucheza michuano ya CAF Champions league kila mwaka. Itasaidia sana kukuza viwango. Ukishazoea kucheza na hizi timu za TPL, unaweka tafsiri finyu kwamba timu yetu iko juu. Ndio maana naomba tuendelee kushiriki hii ligi kupambana na wababe wengine...
Back
Top Bottom