Kuna mwanafunzi ame graduate form four na kupata ufaulu wa division iv ya point 26. Chemistry D, Biology C, Geography D, English C, History D, Civics D, Kiswahili D, Math F.
Je kwa upande wa health and allied sciences anaweza kusomea nini?
msaada tafadhali wakuu.