Recent content by creophace

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kulipa mikopo katika taasisi za kifedha kabla ya muda kumalizika

    Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa Maboto. Kila nikiwaomba wanipe balance ya mkopo wangu ili niwalipe deni lao hawataki. Hivyo nahitaji msaada wenu nifanyaje
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki

    Jamani naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki hivyo naomba mnisaidie maana nimekosa jambo la kufanya
Back
Top Bottom