Recent content by Crala kidoti

  1. Crala kidoti

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

    Hio ishu inawezekana ni kweli huyo jamaa anaakili timamu kabisa awezi amka asubui na kuanza kusema anadaiwa tuu. Inaonyesha ni kweli. Maana zama na mume wake wamekimbilia kituo cha police kawe na kumuweka ndani kijana. Wapo wengi tuu wamezulumiwa haki zao.
  2. Crala kidoti

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

    Kaka yangu. Wangapi wametapeliwa hapa TZ , ni wengi tuu mtu anadai anaenda mahakani anaonekana yeye ndo mwenye makosa. Wapo wengi tuu.
  3. Crala kidoti

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

    Ni kawaida yake kutokulipa. Utapeli tuuu kujitetea kwingi. Na nyie mnatetea watu. Huyo jamaa alimuomba zamaradi hio 200k akasema hana , 😀😀😀. Nafikili ni uchoyo tuuu. Rogo mbaya tuuu.
  4. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Wapo wengi tuu, Ndo kuwa na shida ni wanandoa wenyewe
  5. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Sijui weww ni me au ke sijui. Kama ni me nyie mnajifanya wema sana mkifanya maovu ni sawa ila mke akifanya sio sawa eboo.
  6. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Sasa usichoamini wewe ni nini? Kama mwanaume tuu mkewe anazaa nje na anamsamehe na wanaendelea na maisha unashangaa nini. Yuzi ngapi zimekuja hapa ke imezaa nje na me imemsamehe mkewe. Japo wao mpaka sasa hawausiqno mazuri na mkewe anaishi kwa sababu ya watoto tuu. Wanagombana mara kwa mara.
  7. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Duu kuna kaka mmoja yeye ana mkewe walikuwa na watoto 3 wakike tupu. Sasa akaamua kwenda kuzaa nje kutafuta mtoto wa kiume alifanikiwa na kwenda kumtambulisha kwa ndugu kama wote mkewe aligombananae ila wakamwambia tuh huyu ni mtoto wake hata ukachukia haisaidii akakukubali. Ndugu wa mwanaume...
  8. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Kiyavu ipo kigali. Hata huyu mdada niliomweka kwenye DP yangu ni mtutsi, jamani wale wadada ni warembo
  9. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Sasa mbona umemziba sura sasa
  10. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Duuu mambo ya warembo wa kitutsi
  11. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    ilikuwa kesi ngumu sana maana hata mdogo wangu yule mwenyewe mtoto mpaka leo hajamkubali wala nini. Ni mahumivu tupu. Kapeace
  12. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Jamani shida ni nini my.
  13. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Na huyo mtoto alimkuta karibu na chuo alipokuwa anasoma mdogo wake. Sio alitoka huku kwao na kwenda kuzulula mwanza
  14. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Soma vizuri nimesema alienda mwanza kikazi , na mdogo wake alisoma chuo miaka mitatau mwanza. Sawa usikurupuke my
  15. Crala kidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Na is hatoweza tayari my
Back
Top Bottom