Recent content by Cr wa familia

  1. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo surprise niliyomfanyia x-wangu aliyetaka kupasha kiporo

    Ongera sana kamama
  2. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    Nakubali mkuu hizi vitu ukiingia mzima umeisha
  3. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    Me sijawahi kutana na uongo wa kutisha ni hizi za lashalasha maana Sina tabia ya kuwa na manzi wengi
  4. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanene na wenye shepu za kuvutia huwanenepesha waume zao

    Alafu ni watamu balaa achana na ile mishale ya baridi utadhani inaishi kwenye friza :D:D:D
  5. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Taja sifa za wanawake waovaa hivi

    Ni used mpaka reused ndo sababu
  6. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Sifa za Rafiki wa kweli

    Kuna muda nimekuja kugundua wote walokuwa wananizunguka ni watu feki asee
  7. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Sifa za Rafiki wa kweli

    Ungemalizia kuwa mtu huyo hayupo ingekuwa poa zaidi mkuu
  8. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Watu wameendekeza tamaa kwa kisingizio cha usasa

    kabisa yan alafu wanachekelea
  9. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Ifike kipindi mabinti na wamama mpunguze ubinafsi, tumewachoka

    Mkasa mrefu sana mwenye summary plz alafu tukiwambia KATAA NDOA sio kwamba sisi ndo tunataka kuingia kwenye ndoa zenu kelele ni nyingi huku ground
  10. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Boss kaoa

    All in all karma does not work madam kama umeachwa kaolewa mwingine shortly we sio mke bora kwake hukuwa na vigezo alivyovitaka kutanuana vzr sio kigezo kuna maisha baada ya kutanuana fanya mtegemee mungu kwa kila jambo hayo yatapita upe moyo wako nafasi upumzike uyasahau upampata wa kufanana...
  11. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Watu wameendekeza tamaa kwa kisingizio cha usasa

    Nilikuwa na mpenzi siku moja nikamuuliza mbona unavaa nguo fupi akajibu mama mwenyewe hanikatazi we ni nani tangu hapo niko nae kama wadangaji wengine [emoji19]
  12. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

    Ukweli mchungu Mimi siwezi kumpost demu hata waseme amepotea na kabla sijaingia nae kwenye mahusiano hata nisipomwambia lazima akubaliane na hali :D
  13. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

    Mungu awatangulie
  14. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

    Itakuwa wanatoka mida ya kazi unakuwa busy ofisini
  15. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

    Ni ushauri mzuri na unaonwa na wengi ila wa kuufuata hayupo hata mmoja :D
Back
Top Bottom