Recent content by cozme

  1. cozme

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. cozme

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Heshima yako mkuu, nimechelewa kuupata huu uzi, naweza Pata link ya Huawei Y7 Prime 2019 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    This is the truth boss! Solar sio complicated ila kama unaruhusu fahamu yako kutoelewa taratibu za msingi na kulazimisha upate makadilio ya juu kwa juu kwa issue kama hii ambayo ni very technical utaishia kuichukia hii technologia ya umeme jua mbona hapa hapa Tanzania wapo watu wamefuata...
  4. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    What if leo nimekuambia ghalama zinazofanana na mtu aliyefungiwa mfumo wa umeme jua kwa takwimu labda za mwezi uliopita, leo hii wewe utahitaji ufahamu ghalama pia nikakupatia zile zile za mteja wa mwezi uliopita kwa sababu matumizi hamtofautiani sana, changamoto inakuja pale ambapo umepewa...
  5. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    Bado ukiongelea makadilio ya ghalama kwa mtanzania wa kawaida kwa kuweka figure ya pesa ni kiasi gani kiufundi unakuwa haupo sahihi ndo mana ukifuatilia sana mtaalamu yeyote mzuri wa vifaa vya umeme jua huwa lazima akuulize, je katika mfumo wa umeme jua unaohitaji kufungiwa ni vifaa gani hasa...
  6. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    Kwa hapa Tanzania monocrystalline na polycrystalline zinafaa. Ili solar panel husika iweze kufanya kazi vizuri kwa ufanisi kuna vitu muhimu vya kuzingatia moja ya hivyo ni 1.Mounting structure; hii inaweza kuwa ni roof mounting, ground mounting, pole mounting, adjastable single module mounting...
  7. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    Mpaka sasa kitaalamu kuna aina kuu tatu za solar panels 1.Monocrystalline 2.Polycrystalline 3.Armophous Kila moja inafanya kazi kulingana na geographical position ya eneo husika na hii huzingatiwa kutokana na solar intensity kwa umbali kutoka usawa wa bahari kutofautina kwa maeneo tofauti...
  8. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    Boss ukisema taa, feni,fridge nk hivi ni vifaa ambavo kila kimoja kimekuwa rated wazi kabisa katika name plate yake kama kinatumia watts ngap ukisema tukisema tukadilie tunakuwa hatupo sahihi kias flan na hii hupelekea umeme huu wa jua kufanya kazi chini ya kiwango na kutokidhi mahitaji na...
  9. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    Zoez hili zima la solar pv systemsizing likikamilika kwa utaalamu vyema ndipo utatambua vifaa vinavyohitajika na idadi yke na hatimaye kukufanikisha katika kutambua ghalama ya kila kifaa na ghalama kwa ujumla.
  10. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    Boss wangu ukishakuwa na wazo la kufunga umeme jua kitu cha kwanza lazima utambue ukubwa wa mzigo(load) katika watts kama ni AC ama DC . Ukubwa wa load utakupelekea ujue ni solar panel ngap, battery ngap,solar charger controller au inverter ya ukubwa gani utumie na upate umeme wa kutosheleza...
  11. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    Hakuna ulazima wa kununua upya kila kitu kitumiacho solar mkuu labda ukiitaji iwe hivo. Kwa mtu ambaye tayari yupo katika mfumo wa umeme wa tanesco na tayari anavifaa vitumiavo AC current kunakifaa hufungwa wakati wa installation kina itwa inverter hichi ndio hufanya kazi ya kubadili DC current...
  12. cozme

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuweka Solar VS Umeme wa Tanesco, wataalam mtuchanganulie...

    Ukubwa wa ghalama za umeme jua( solar power) hutegemeana na ukubwa wa vifaa vinavyotumia umeme huo. Kitu muhimu tunachopaswa kukitizama katika suala la usimikaji wa nishati fulan iwe ni umeme jua, umeme wa tanesco au chanzo chochote cha nishati kwaajili ya matumizi ya majumbani ni ghalama halisi...
Back
Top Bottom