Recent content by Covenant-1015

  1. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania Chuo kufanya confirmation bila ridhaa ya mwanafunzi mwenye multiple selection

    Si angekuwa na confirmation ya vyuo viwili hapo huoni kama ni tatizo linakuwa?
  2. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania Chuo kufanya confirmation bila ridhaa ya mwanafunzi mwenye multiple selection

    Wameconfirm kabla dogo hajapata code kutoka tcu.na ku uncofirm wanazungusha akiweka code kutoka tcu ili ku unconfirm mwenyewe anaambiwa code si sahihi wakati ni copying and pasting ambayo ni uhakika hajakosea nakili code
  3. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania Chuo kufanya confirmation bila ridhaa ya mwanafunzi mwenye multiple selection

    Habari wana jf Nina mdogo wangu amechaguliwa UDSM na UDOM second round,kilichotokea ni kwamba mara baada ya kuchaguliwa UDSM walionekana kufanya confirmation bila taarifa kwa mwanafunzi,tulipoona vile tuliwasiliana na UDSM kwa kiwatumia email na kiwapigia simu wakafanikiwa ku unconfirm.katika...
  4. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania TCU phone number

    Wachek kwa emeil yao mkuu
  5. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Naomba mawasiliano yao mkuu
  6. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania UDOM second round

    Successful selected mkuu nmekuw
  7. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania UDOM second round

    Nmefungua udom wamejibu kwa wale ambao account hazikuw na changes toka waanze kujibu..mkeka ume tiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania Multiple selection second round

    Account had leo tar 26 hakuna changes zozote
  9. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania Multiple selection second round

    Sasa hawa wana mpango gani na deadline ya 3rd round ni leo 26th then hawaja release single selected..kweli tabu iko pale pale
  10. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    test namb hzo especially za Voda utasaidiw
  11. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Mzumbe wenye multiple selection hao
  12. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    hizo hpo kweny pic hyo chek
  13. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Kuna namb za cm zimetolew kwa ajil ya confirmation.. Inatakiw achukue namb mojawap ktk tangazo atume ujumbe mfupi ukiw na jina kamili, F 4 index no, na degree program aliochaguliw
  14. Covenant-1015

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Kwa wale mlikuw mkisubiri majina ya selection chuo kuu dodoma yametoka.. Fanya kupitia hpa uangalie kama yamekaa saw au laah..hzo doc mbil kuna moja kwa wale wenye single selection na ya pili kwa wale weny multiple selection wanaoitajika ku confirm kama wataenda chuoni (UDOM)
Back
Top Bottom