Raisi wetu inafaa akae muhula mmoja tu, usiopungua miaka mitano (5) na kutozidi miaka saba. Napendekeza miaka saba. Hii ni kuongeza ufanisi wake tupate tija zaidi. Pia hatalazimika kuomba kura na kuaga wapiga kura wake mara nyingi. Atomba kura mwaka mmoja na kuaga mwaka mmoja atatekeleza ilani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.