Recent content by Counsel Jr

  1. Counsel Jr

    Serikali na Tume ya Warioba walichokisema juu ya Katiba Mpya

    Habari wanajukwaa na Watanzania wote kwa ujumla? Nachukua fursa hii adimu kwanza kumshukuru Mungu wa rehema! Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa muda sasa Tanzania tuliingia katika mchakato wa Katiba mpya jambo ambalo mpaka leo halijazaa matunda siyo kwasababu pengine wahusika wa jambo hili...
  2. Counsel Jr

    Watu 13 wafariki baada ya jengo la hoteli kuanguka

    Poleni Sana kwa kupoteza ndg zenu.... Tunawaombea majeruhi wapone haraka🙏
Back
Top Bottom