Recent content by Cotton pamba

  1. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambizane ndugu zangu uliishije na mwanamke mbishi na mjuaji?

    Dah...wanaume tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana 😂😂😂
  2. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

    Mtoa mada uzi unaofwata utakuwa ivi "" MKE WANGU HAOMBI HELA YA KUSUKIA ILA ANASUKA NA KUPENDEZA "😂😂😂😂
  3. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

    Apo tayar umepigwa na kitu kizito 😂😂😂
  4. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe mpenzi wangu anajiuza

    Kwani tutazika au tunasafirisha?
  5. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa hapa Dar

    Mby wap mkuu
  6. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Jiandae kisaikolojia mkuu ,mwenzio nimetia ujauzito single mama apa muda sio mrefu itabid ni mchukue nawaza mpaka basi
  7. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za mume bora

    🤣🤣🤣🤣🤣
  8. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Weka waraka apa
  9. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Dah..nchi ina vijana wa ...sana 😂😂😂
  10. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Mkuu hata mm hususan za single mother
  11. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Mmeanza wa bongo bhana !!asa apa hela inahusikaje ???
  12. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Mkuu pole sana , kwakweliiii inauma sana asee. Ila jipige kifuan mwambie mungu nataka kusonga mbele
  13. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Mkuuu toa neno la faraja 🤣🤣
  14. Cotton pamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    Pole sana mkuu ,mapito ayo
Back
Top Bottom