Recent content by cosmetic

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Samweli Sita - Heshima kitu Cha Bure _Linda Heshima yako - Jiuzulu

    Ushabiki ni hali kama ya upendo fulani juu ya jambo fulani kwa sababu fulani tu za kimaslahi,mimi nauita unafiki na upendo wa kiutumwa,,upo tu ili usaidiwe au upate kusaidika pia upendo huu unaweza ukawepo kwa mtu basi tu nae awemo hata hajui kitu hana uelewa wowote,,mimi nawaita mashankupe...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Ninachoamini mimi katiba tuitakayo tutaipata tu,waache ukawa wafanye yao na ccm wafanye yao na kila mmoja wao na Mungu wake,i mean Mungu wa ccm na Mungu wa ukawa Katiba yetu iliyotokana na maoni yetu tume ikayapokea na imewapa ,waifanyie kilichowapeleka bungeni. Ole wenu ole wenu wenye nia ovu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo babati magugu
  4. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo babati mjini
  5. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Aliyeko babati mjini aje magugu 0764933405
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Aliyepangwa arusha au moshi aje babati mjini idara ya sekondari mim nije arusha au moshi 0764933405
  7. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo babat mjini yusuph nije nyumban arusha
  8. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Munambefu njoo babati
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji vipi?

    Mwenye kujua zile ajira za uhamiaji vip zimeshatoka jamani?
  10. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara ya sekondar kutoka arusha au kilimanjaro aje babati mjini0768658029
  11. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu sekondari aliyeko manispaa ya arusha au moshi anayetaka kubadilishana aje babati,magugu 0764933405
  12. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko Manyara babati nataka kwenda arusha jiji au kilimanjaro manispaa sekondari 0764933405
  13. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko Manyara babati nataka kwenda arusha jiji au kilimanjaro manispaa
  14. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Afisa kilimo niko manyara nataka kurudi kilimanjaro 0764933405
  15. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nani aje Manyara babati mimi niende arusha jiji secondary 0764933405
Back
Top Bottom