Recent content by Corona IIbartwandi

  1. C

    Wananchi wa Kenya na Uganda waandamana kupinga hali ngumu ya Maisha, Tanzania ruzuku kwenye mafuta yatuliza mfumuko wa Bei

    Marekani na NATO ndiyo chanzo cha vita hiyo kwa kuendelea kepeleka silaha Ukraine. Vita vingekuwa vimeshaisha siku nyingi
  2. C

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufumuliwa

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi ipo kikatiba kwa mujibu wa Ibara ya 74(1-5 na mjukumu yake Ibara ya 74 (6) (a-e), kifungu cha 4c cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 na Tume kuwa chombo huru kwa mujibu wa Ibara 7 na 11. Tume pia ipo kwenye katiba pendekezwa. Kama ni mabadiliko lazima Katiba...
  3. C

    Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

    Tume huru ya uchaguzi imo ndani ya Katiba Pendekezwa, kwa hiyo lazima kwanza Katiba Mpya halafu ndipo ipatikane Tume huru ya uchaguzi
  4. C

    Hakuna cha miradi wala mikataba, Tume Huru ya Uchaguzi ndio muhimu

    Uchaguzi ulikuwa hururu wa wazi na wa haki kwa sabau hata kesi zilizofunguliwa za kupinga matokeo ya Ubunge na Udiwani zilikuwa chache ukilinganisha na chaguzi za miaka iliyopita
  5. C

    Hakuna cha miradi wala mikataba, Tume Huru ya Uchaguzi ndio muhimu

    Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ulikuwa Huru, Wazi na wa kidemokrasia kwa sababu hata kesi za kupinga matokeo ya Ubunge na Udiwani zilikuwa chache ukilinganisha na Chaguzi za miaka iliyopita. Chaguzi za Ubunge zilizofunguliwa ni nne na za Udiwani ni 11 na zote zimeshasikizwa na kumalizika kwa...
  6. C

    NEC yajipanga uchaguzi ujao kuaminiwa dunia nzima

    Acha kuchonganisha watu. Kila mtu anao uhuru wa kusema anachoamini made asivunje sheria
  7. C

    Bongo tukitaka maendeleo kweli, tumkodi mzungu mmoja atuongoze kwa miaka kumi kisha aondoke

    Wewe kweli siyo mzalendo wa nchi yako. wenzetu wazungu waqlendelea kwa sababu ya uzalendo na kupenda vya kwao. hata sisi sisi tukiwa wazalendo na kupenda vya kwetu tutaendelea. Wazungu wanatengeneza bidhaa zao na sisi waafrika tunatengeneza za kwetu lakini utashangaa mwafrika ananunua vya...
  8. C

    CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

    Hongera sana Shujaa Mwendana zake umeandika ukweli mtupu
  9. C

    CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

    Mwenye Busara anatembea na wenye Hekima, lakini Mpumbavu anazidi kwenda mbele na lazima aumie.Mnaopinga Mtokeo ya Tume unaushahidi gani huku ukikaa na kusema mwenyewe huko Pembeni umeonewa. Njoo Tume ya Uchaguzi kama Viongozi wa Dini na watu mbalimbali waliotembelea Tume na kupata Hekima na...
  10. C

    Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

    Namshukuru Rais amejitolea kwa nchi yake kutangaza utalii na vivutio vya nchi kwa watalii. Lakini swali ninalojiuliza, hawa Mawaziri wa hizi Wizara na Mabalozi aliowateua wanakazi kani mpaka Rais mwenye majukumu makubwa ya kuongoza nchi anawasaidia kazi zo?
  11. C

    TANZIA Profesa Augustine Massawe, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Watoto afariki dunia

    Very sad. Mungu afariji Familia yake. Amesaidia Watoto wengi sana kuwatibu.
Back
Top Bottom