Recent content by Cornestone

  1. C

    JamiiForums Tanzania Geita yaondolewa kiu

    Chini ya uongozi wa Rais Samia, vijiji vyenye huduma ya maji mkoani Geita vimeongezeka kutoka 204 hadi 420 kati ya vijiji 486, huku visima vya maji vikiongezeka kutoka 299 hadi 389 ndani ya miaka minne tu. GEITA TUNATIKI✅
  2. C

    JamiiForums Tanzania Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

    Watanzania wangapi, wapi?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

    Wanatoa vizuri tu, wewe tu unajifanya haushukuru kumbe moyoni unashukuru
  4. C

    JamiiForums Tanzania Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

    Kabisa,watu tu wanajifanya hawaoni juhudi zake alizofanya
  5. C

    JamiiForums Tanzania Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

    Ambayo wewe haujayamwaga chooni, yameleta mchango gani kwenye Jamii na taifa kwa ujumla?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

    Fikra zako zimepauka sanaa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

    Mikopo ya 10% 👇🏽 Chini ya Rais Samia Mikopo ya 10% kwa vijana, wanawake na walemavu Arusha imeongezeka kutoka TZS 3.08bn (2021) hadi TZS 13.55bn (2025), ikinufaisha zaidi ya vikundi 1,380 na kuinua maisha yao kiuchumi. Arusha OKTOBA Tunatiki ✅
  8. C

    JamiiForums Tanzania Arusha yaongoza kuwa na umeme vijijini chini ya Samia

    Unaelewa mfumo wa uongozi kweli?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Arusha yaongoza kuwa na umeme vijijini chini ya Samia

    Nitajie hivyo vijiji mkuu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Arusha yaongoza kuwa na umeme vijijini chini ya Samia

    Rais Samia amewekeza TZS bilioni 117 na kupeleka umeme katika vijiji vyote 368 mkoani Arusha, na kuufanya kuwa mkoa wa kwanza kufikia asilimia 100 ya upatikanaji wa umeme vijijini. Kaya 137,100 zimeunganishwa kati ya 2020–2025. Arusha OKTOBA Tunatiki ✅
  11. C

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Hapana mkuu. Nguzo mojawapo ya dira ni kuhakikisha kuwa nchi inakua na uchumi imara, jumuishi na shindani. Misingi iliyowekwa ikiwemo uhakika wa upatikanaji wa umeme, unachochea uwekezaji zaidi katika viwanda na kukuza uzalishaji.Hii itasaidia kuimarisha nguvu ya shilingi, kuongeza mauzo ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Sio Maneno Mkuu,Kazi imefanyika. Wachimbaji wadogo wa madini wamewekewa masoko maalum ya madini ambayo yamezuia utoroshaji wa madini ambapo wachimbaji wanapata faida moja kwa moja na serikali inaingiza mapato
  13. C

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
Back
Top Bottom